Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
BANGE kaivute mwenyewe! Go and study your history. Obstacles tunazopaswa kuzikonka kama Tanzania na Afrika ni way different from those za nchi unazodhani hali ni sawa.Acha bhangi wew hayo mataifa yalioendelea ndo yana uchafu balaa
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hizo nimemkabizi mama watotoKiasi cha kutosha kuitwa mwenye hela.
Madhara ndiyo hayo sasa, yameanza kuonekana. The good news ni kwamba normally revolutions na mabadiliko yote katika historia huwa yanakuwa spearheaded na watu wachache tu--au hata mmoja mwenye akili timamu na ujasiri wa kutosha.Vijana wa kiume Wakiambiwa waandamane kuundoa madarakani utawala dhalimu wa Ccm , wanabaki kuuma uma vidole kama mabinti wanaobalehe
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu uwe na huruma, unataka jamaa aninyonge kwa kukiona hopelessTafuta hela wewe, utaambiwa "nna hiyo voda ukinikosa nicheki na kwenye tigo pia, ila chukua na ya ndugu yangu kwa dharura"
Si ndio hapo sasa, na ukimpa muda wote unaangalia simu asije kupiga ukaacha kupokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti mwenye hela unampaje namba fake jamani[emoji2369]
Hela ya nini, wakati na yeye atafaidi kwenye shooSi ndio hapo sasa, na ukimpa muda wote unaangalia simu asije kupiga ukaacha kupokea
Equation x tafuta helaaaaa😁
shoo gani sasa wakati shoo inaanza kwa kupewa namba fekiHela ya nini, wakati na yeye atafaidi kwenye shoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]shoo gani sasa wakati shoo inaanza kwa kupewa namba feki
Mungu ameniepusha na balaa kwa kutumia malaika wake wa ulinzishoo gani sasa wakati shoo inaanza kwa kupewa namba feki
Niwe nafanyaje mkuu