Wadada kwanini mnajiweka cheap kiasi hiki?

Wadada kwanini mnajiweka cheap kiasi hiki?

Mambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu.

Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa request akawa analike post na picha zangu.

Nisiende mbali basi badae akawa anakuja inbox tunachat sana akaomba namba zangu nikampatia basi akawa anakuja wasap sana, toka August tunachat sana. Basi Feb hii kaja tofauti.

Mara anitumie picha yupo sehemu fulani (kwa sasa yupo mkoa mmoja hapa Tz, mara yupo kitandani anioneshe mapaja basi bila hiyana namsifia tuu kutimiza furaha yake but mimi sijawahi omba picha zake hata siku moja.

Kwa mwonekano ni mwanamke kaumbika kwa wapenda makalio mubashara aah safi sana basi juzi juzi hapo kati akaja wasap mambo kunakitu nataka nikutumie ila uangalie ukimaliza kula nikamwambia tayari lakini nilikuwa sijala bado msosi wa usiku. Basi akatuma picha na video akiwa kwa Sofa yao kwao anakata mauno balaa, then akanambia niifute eti nikishaangalia.

Lakini najiuliza ladies why kwanini mnataka kujiweka cheap kiasi hiki? Mnasema wanaume tunawadhalilisha sana lakini mnaanza nyie wenyewe. Na bahati mbaya sana ana mtoto mmoja ila hajaolewa ana mshkaji wake huko mkoa mmoja kusini mwa Tz.

Wadada mnaboa sana kwa tabia zenu hizi mnajiweka cheap sana sana ndio maana wengi hamuolewi kwa tabia hizi mnapigwa tuu. Jiwe gizani acheni tabia hizo. Ipo siku ikiwa too much nitamwambia tu its a lesson to others

Mawazo ya wachangiaji ndio kitakuwa kipimo cha akili zao.
hahah.. ni kweli si powa but si wanawake wote, huyo utapata wala hataki umuoe anakutia tuu majaribun umgegede..dats ol, hataki makuu
 
Wanaume kama si wote basi idadi kubwa kipindi hiki tuna shida.
Usiwe umefahamiana na mdada mrembo siku za nyuma au karibu.
Swala ni hili:

Babe bimekumissi!

Kesho birthday yangu!

Yaani sijala toka juzi!

Mpenzi nina shida!

Unenisusa!

Babe hata kusalimia shida?


Nina shida nisaidie voccha!

Babe nimeibiwa kitambulisho, NIDA wanataka hela!


Basi messga e zote hizo zinaweza kufika ndani y siku mbili au tatu toka kwa mademu sehemu tofauti, kwa jinsi mlivyofahamiana.

Jamani mnipe utaalam kwa wazoefu unakwepaje misele hii!
 
Kiungwana ungemwambia hukohuko ili tena kwa kumwelekeza kwa upole kabisa kuwa hiko sio kitu kizuri kwa sababu moja mbili hivi ila kuja hapa nawe inaonesha haupo sawa kabisa. Mwanamke huyo kakuamini sana ndio maana akutumia alivyokutumia! Shida ni wewe kuanika udhaifu wake hapa
 
Back
Top Bottom