Wadada kwanini mnajiweka cheap kiasi hiki?

Wadada kwanini mnajiweka cheap kiasi hiki?

Si unamwambia hupendi. Au Kama haelewi anakula block. Ila na sisi wanawake tubadilike hujatongozwa... Unajitongozesha kwa mwanaume.. Lohhhh

Ya kusubiri kutongozwa ni mambo ya zamani sana!Kama unanipenda niambie tu
 
ntaleta chats za leo na hide jina utaona.
Aaaaah "hapo ndo ntaamini kweli jamaa kakupiga chini... Unahangaika kumdharirisha hivyo kisa nini... Mbona vitu vya kawaida hivyo ndg yangu.. Kama humuelewi unamchana mwenyewe kisha unameza tu.. Kwani mbona mwanaume unafukuzia kazi zingine licha ya kuhangaikia saana, unapigwa chini, mbona hujatangazwa? Huo ni udhaifu ndg yangu... Hii ni jf, vichwa viko hapa.. Pole sana..
 
Mambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu.

Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa request akawa analike post na picha zangu.

Nisiende mbali basi badae akawa anakuja inbox tunachat sana akaomba namba zangu nikampatia basi akawa anakuja wasap sana, toka August tunachat sana. Basi Feb hii kaja tofauti.

Mara anitumie picha yupo sehemu fulani (kwa sasa yupo mkoa mmoja hapa Tz, mara yupo kitandani anioneshe mapaja basi bila hiyana namsifia tuu kutimiza furaha yake but mimi sijawahi omba picha zake hata siku moja.

Kwa mwonekano ni mwanamke kaumbika kwa wapenda makalio mubashara aah safi sana basi juzi juzi hapo kati akaja wasap mambo kunakitu nataka nikutumie ila uangalie ukimaliza kula nikamwambia tayari lakini nilikuwa sijala bado msosi wa usiku. Basi akatuma picha na video akiwa kwa Sofa yao kwao anakata mauno balaa, then akanambia niifute eti nikishaangalia.

Lakini najiuliza ladies why kwanini mnataka kujiweka cheap kiasi hiki? Mnasema wanaume tunawadhalilisha sana lakini mnaanza nyie wenyewe. Na bahati mbaya sana ana mtoto mmoja ila hajaolewa ana mshkaji wake huko mkoa mmoja kusini mwa Tz.

Wadada mnaboa sana kwa tabia zenu hizi mnajiweka cheap sana sana ndio maana wengi hamuolewi kwa tabia hizi mnapigwa tuu. Jiwe gizani acheni tabia hizo. Ipo siku ikiwa too much nitamwambia tu its a lesson to others

Mawazo ya wachangiaji ndio kitakuwa kipimo cha akili zao.
Hebu nipe namba yke nifatilie kweli ana tabia hzo
 
Na wanawake wachache mlio na akili mbovu ndo manasababisha wanawake wote wanadharauliwa hivi kumtumia mwanaume picha ya uchi ndo kunanogesha upendo jamani, embu tubadilike mengine unakuta anakubali pigwa picha ya uchi wakati mwenzake anaona kabisa amejificha ni nani aliye waroga enyi kizazi cha nyoka inaumiza sana pale ambapo ukiwaza na wewe unadada zako na utakuja kuwa na watoto wa kike yamkini alafu unaona mambo kama haya inaumiza sana
Mwengine amesoma comment, anabinua mdomo upande mmoja, kwa hasira anajipiga akiwa Na Chupi Tu, hafu anatuma kwa mtu wake!

Hawasikiagi Mkuu!

Wasubiri Tu wakija hapa kusema "Siku hizi hakuna wanaume waoaji" Ili uwazodoe.
 
Mbona sioni shida hapo nyie MNA mahusiano ya aina Fulani ndio maana anakushirikiaha vitu vya aina hiyo jiulize mbona hajanitumia mm au MTU mwingine .

Jitahidi kuwa muelewa huyo kuna kitu anakuambia ila wewe hujamuelewa hata kama kusoma hujui INA maana hata picha jioni?
 
Dah... Kweli "nguvu kazi" ni janga la kitaifa... weka namba ya mfupa wenye meno wautafune [emoji13] [emoji13]
 
Sio poa kuileta huku kama ungekuwa hutaki hivi vijtabia ungemweleza bila kificho
Umemuweka màhali pake. Yeye ndo anatuaibisha wanaume, binti kakutunuku, tena faragha, unamtangazaje? Ameniudhi sana huyu mleta uzi.
 
Mambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu.

Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa request akawa analike post na picha zangu.

Nisiende mbali basi badae akawa anakuja inbox tunachat sana akaomba namba zangu nikampatia basi akawa anakuja wasap sana, toka August tunachat sana. Basi Feb hii kaja tofauti.

Mara anitumie picha yupo sehemu fulani (kwa sasa yupo mkoa mmoja hapa Tz, mara yupo kitandani anioneshe mapaja basi bila hiyana namsifia tuu kutimiza furaha yake but mimi sijawahi omba picha zake hata siku moja.

Kwa mwonekano ni mwanamke kaumbika kwa wapenda makalio mubashara aah safi sana basi juzi juzi hapo kati akaja wasap mambo kunakitu nataka nikutumie ila uangalie ukimaliza kula nikamwambia tayari lakini nilikuwa sijala bado msosi wa usiku. Basi akatuma picha na video akiwa kwa Sofa yao kwao anakata mauno balaa, then akanambia niifute eti nikishaangalia.

Lakini najiuliza ladies why kwanini mnataka kujiweka cheap kiasi hiki? Mnasema wanaume tunawadhalilisha sana lakini mnaanza nyie wenyewe. Na bahati mbaya sana ana mtoto mmoja ila hajaolewa ana mshkaji wake huko mkoa mmoja kusini mwa Tz.

Wadada mnaboa sana kwa tabia zenu hizi mnajiweka cheap sana sana ndio maana wengi hamuolewi kwa tabia hizi mnapigwa tuu. Jiwe gizani acheni tabia hizo. Ipo siku ikiwa too much nitamwambia tu its a lesson to others

Mawazo ya wachangiaji ndio kitakuwa kipimo cha akili zao.
Acha utoto! Inaonesha hujaenda jandoni wewe! Upuuzi huo. Binti kukupenda sio dhambi. Kakufuata faraghani unamuwekaje hadharani? Punguani wewe!
 
Back
Top Bottom