Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaweza ikawa jamaa alijiachia na kujitapa sasa dada akaamua kuja mzima mzima. Jamaa kuona dada haendani na vigezo ndiyo kamleta hukuSi unamwambia hupendi. Au Kama haelewi anakula block. Ila na sisi wanawake tubadilike hujatongozwa... Unajitongozesha kwa mwanaume.. Lohhhh
Pole sana,ameshauriwa na akafanya hivyoDah nmechelewa mpka watu wamefuta picha??
Kweli. Itakuwa hivyo. Ila huyu jamaa naye mambo ya private anayaleta huku. Utoto unamsumbuaYaweza ikawa jamaa alijiachia na kujitapa sasa dada akaamua kuja mzima mzima. Jamaa kuona dada haendani na vigezo ndiyo kamleta huku
Kweli. Itakuwa hivyo. Ila huyu jamaa naye mambo ya private anayaleta huku. Utoto unamsumbua
Umesahau kwenye msafala wa kenge na mamba wapo? dunia ya sasa sio ya enzi hizo mwenzio yupo kibiashara kama walivyo makaka poa.Mambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu.
Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa request akawa analike post na picha zangu.
Nisiende mbali basi badae akawa anakuja inbox tunachat sana akaomba namba zangu nikampatia basi akawa anakuja wasap sana, toka August tunachat sana. Basi Feb hii kaja tofauti.
Mara anitumie picha yupo sehemu fulani (kwa sasa yupo mkoa mmoja hapa Tz, mara yupo kitandani anioneshe mapaja basi bila hiyana namsifia tuu kutimiza furaha yake but mimi sijawahi omba picha zake hata siku moja.
Kwa mwonekano ni mwanamke kaumbika kwa wapenda makalio mubashara aah safi sana basi juzi juzi hapo kati akaja wasap mambo kunakitu nataka nikutumie ila uangalie ukimaliza kula nikamwambia tayari lakini nilikuwa sijala bado msosi wa usiku. Basi akatuma picha na video akiwa kwa Sofa yao kwao anakata mauno balaa, then akanambia niifute eti nikishaangalia.
Lakini najiuliza ladies why kwanini mnataka kujiweka cheap kiasi hiki? Mnasema wanaume tunawadhalilisha sana lakini mnaanza nyie wenyewe. Na bahati mbaya sana ana mtoto mmoja ila hajaolewa ana mshkaji wake huko mkoa mmoja kusini mwa Tz.
Wadada mnaboa sana kwa tabia zenu hizi mnajiweka cheap sana sana ndio maana wengi hamuolewi kwa tabia hizi mnapigwa tuu. Jiwe gizani acheni tabia hizo. Ipo siku ikiwa too much nitamwambia tu its a lesson to others
Mawazo ya wachangiaji ndio kitakuwa kipimo cha akili zao.
even yourself you have a poor mindMkuu lengo lako ni zuri sana ila umeonekana kichaa pale ulipoweka tu iyo picha nimekudharau sana ulitakiwa umwambie huko huko ili asije rudia tena lakini wewe umefanya ujinga kuliko hata Huyo mwanamke
Be a man.
Poor you
usiwe na akili ya kupe hyo ni screenshot *****si alikuambia uangalie alafu ufute sasa huku unaileta ya nini? fuata maelekezo kijana
kama unapenda nakutumia namba umtafute.. *****Kweli umebugi,badala ya kukosana naye ndo unamtangaza vibaya hahahahha .