Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huyuMambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu.
Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa request akawa analike post na picha zangu.
Nisiende mbali basi badae akawa anakuja inbox tunachat sana akaomba namba zangu nikampatia basi akawa anakuja wasap sana, toka August tunachat sana. Basi Feb hii kaja tofauti.
Mara anitumie picha yupo sehemu fulani (kwa sasa yupo mkoa mmoja hapa Tz, mara yupo kitandani anioneshe mapaja basi bila hiyana namsifia tuu kutimiza furaha yake but mimi sijawahi omba picha zake hata siku moja.
Kwa mwonekano ni mwanamke kaumbika kwa wapenda makalio mubashara aah safi sana basi juzi juzi hapo kati akaja wasap mambo kunakitu nataka nikutumie ila uangalie ukimaliza kula nikamwambia tayari lakini nilikuwa sijala bado msosi wa usiku. Basi akatuma picha na video akiwa kwa Sofa yao kwao anakata mauno balaa, then akanambia niifute eti nikishaangalia.
Lakini najiuliza ladies why kwanini mnataka kujiweka cheap kiasi hiki? Mnasema wanaume tunawadhalilisha sana lakini mnaanza nyie wenyewe. Na bahati mbaya sana ana mtoto mmoja ila hajaolewa ana mshkaji wake huko mkoa mmoja kusini mwa Tz.
Wadada mnaboa sana kwa tabia zenu hizi mnajiweka cheap sana sana ndio maana wengi hamuolewi kwa tabia hizi mnapigwa tuu. Jiwe gizani acheni tabia hizo. Ipo siku ikiwa too much nitamwambia tu its a lesson to others
Mawazo ya wachangiaji ndio kitakuwa kipimo cha akili zao.
Unajua ,kutukana sio?kama unapenda nakutumia namba umtafute.. *****
una hamu nikutatue malinda wewe acha ulimbukeni au ndo mara yako ya kwanza kutumiwa vitu kama hivyo boya wewe mtoto wa zinaa wewesawa dada nimekuelewa jioni njema
Huyo atakua snitch tuSio poa kuileta huku kama ungekuwa hutaki hivi vijtabia ungemweleza bila kificho
kama humtaki naomba namba zake hahahahMambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu.
Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa request akawa analike post na picha zangu.
Nisiende mbali basi badae akawa anakuja inbox tunachat sana akaomba namba zangu nikampatia basi akawa anakuja wasap sana, toka August tunachat sana. Basi Feb hii kaja tofauti.
Mara anitumie picha yupo sehemu fulani (kwa sasa yupo mkoa mmoja hapa Tz, mara yupo kitandani anioneshe mapaja basi bila hiyana namsifia tuu kutimiza furaha yake but mimi sijawahi omba picha zake hata siku moja.
Kwa mwonekano ni mwanamke kaumbika kwa wapenda makalio mubashara aah safi sana basi juzi juzi hapo kati akaja wasap mambo kunakitu nataka nikutumie ila uangalie ukimaliza kula nikamwambia tayari lakini nilikuwa sijala bado msosi wa usiku. Basi akatuma picha na video akiwa kwa Sofa yao kwao anakata mauno balaa, then akanambia niifute eti nikishaangalia.
Lakini najiuliza ladies why kwanini mnataka kujiweka cheap kiasi hiki? Mnasema wanaume tunawadhalilisha sana lakini mnaanza nyie wenyewe. Na bahati mbaya sana ana mtoto mmoja ila hajaolewa ana mshkaji wake huko mkoa mmoja kusini mwa Tz.
Wadada mnaboa sana kwa tabia zenu hizi mnajiweka cheap sana sana ndio maana wengi hamuolewi kwa tabia hizi mnapigwa tuu. Jiwe gizani acheni tabia hizo. Ipo siku ikiwa too much nitamwambia tu its a lesson to others
Mawazo ya wachangiaji ndio kitakuwa kipimo cha akili zao.
[emoji2] [emoji3]Haya ni mambo binafsi halaf mtu hawezi kukutumia hizi vitu out of nowhere lazima mliongelea hizo mambo
hebu tutajie username yake fb tukamkatazeMambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu.