DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Huwa napenda Sana style yao ya kutahili,Hata wakikupa dawa zao bado huwezi kuwa kama wao mkuu. Tohara zao sio sawa na za makabila mengine au za hospitali kwa hiyo ni ngumu kuwa "kama wao"
Nawish mwanangu mmoja aje kutahili kwa wamasai[emoji4]