Wadada mliowahi kudate na wakaka wakimasai wanaouza dawa za kuongeza ukubwa wa dushe njooni mnijibu maswali haya

Wadada mliowahi kudate na wakaka wakimasai wanaouza dawa za kuongeza ukubwa wa dushe njooni mnijibu maswali haya

Hakuna Dawa ya kufanya hayo unayotaka kwa asilimia 100, kila Mwanadamu Ana uwiano na alicho umbiwa, Kuongeza ukubwa na ikashindwa kuendana na uhimili wa Mishipa ya damu na vingine hapo nini kinatokea kama sio kuwa Kubwa jinga yani ni kubwa zaidi ya inavyotakiwa kuendana na mwili wa mhusika, hivyo itashindwa kusimama kwa uhimara na mpaka muanze kubust ndo lisimame.

Mpe huyo #Rafiki then uje uwaeleze wakina Dada ulichokipata...


Mimi sijawahi na sitajaribu kutumia Dawa za kukuza au kuongeza chochote nisije kuwa muuaji sasa[emoji23]

#Mazoezi, lishe, feelings na utaenda kusimulia.
 
ni tohara wanazofanya hawana mbili ila ni style yao tu ya kutahiri, hawaondoi kila kitu kama hospitali mkuu
Ndo hivo mkuu kuwapagawisha watu huwa wanasema wanazo mbili,kwa hiyo wadada wakisikia hivo wanataka wakajionee
 
me nimetahiriwa kwa mila za kimasai ila sio mmasai.
 
Back
Top Bottom