Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.


Kwa kweli ni vizuri kuwa makini, maana kuna watu na viatu vinavyoonekana vizuri kwa nje lakini ndani..
 
Du! Pole! Hii ya kunyweshana damu siielewagi!! Yaani Ni kupendana sana na yamini au shida??? Kweli wengine hatujui kupendana, bali twaishi vizuri tu huku mtaani.
 
Nawashauri kutaneni mmalizane yaishe. Mapenzi ni ujanjaujanja tu, Jamaa kawashika sana. Hongereni kwa kuja kupenda
 


Yaani bila kukuoa?
 
Aaaah! Wapi,Humu siamini kabisa.....Humu kasoro zimezidi Aisee!
 
Wanawake wa humu wanajifanya wao wajuaji sana,vigezo ving na kusahau umri unawapita ww umezaliwa 93 kuludii nyuma unashauz utazekeea kwen
 

Na huyo mtoto wa kwanza apewe jina moja wapo la mod...lol
 
Hayo madesa yaliyochanganywa sasa kwenye hili vurumai la humu...asee!
Yaani mchumba wake mume anakuja juu kwa ex girlfriend ambae alikuwa awe mchumba?!
Hata sielewi!

Wadada muhimu kuwa makini, kuna wanaume Konyo sana, mwanaume kama huyu ili ajitetee pande zote Itabidi awaseme vibaya to each other. Atamsema vibaya A kwa B, halafu atachukua mambo ya B apeleke kwa A.
Mwisho wa siku akiona kugombana kama hivi ndio furaha ndio anajiona kidume.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…