Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Niliwahi kupata, na tulidumu kwenye uhusiano kwa miaka miwili, he is a good guy but at the end of the day tulishindwana kwenye baadhi ya mambo kama ambavyo tu inaweza kutokea kwa mtu uliyekutana nae hata kanisani or anywhere else. Kikubwa unapaswa kua makini kwenye kuchagua maana humu JF kuna watu wa kila aina kama tu ilivyo mtaani. Kuna wenye nia njema, kuna wenye nia mbaya pia so the choice is yours.


Kwa kweli ni vizuri kuwa makini, maana kuna watu na viatu vinavyoonekana vizuri kwa nje lakini ndani..
 
Sawa.Kama ungekuwa Na value kama unayoisema ungeendelea naye kimya kimya kimya Haya yasingekukuta,Eti unanifuata PM Na kunichimba mikwara??why maneno yooote.anayokwambia Leo yumkini alishawaambia wengi Na Mimi Sio kwamba kukaa kwangu kimya nilikuwa mjingaa nilikuwa nakufuatilia pole pole hasa nikufahamu vizuri.Maadamu nimeshajua kila kitu chako hunisumbui.Kwanza utaenda kuishi naye wapi.Mwanaume hata mkono hajakushika zaidi ya.mtandao unapata wapi guts za kuja kunitukana.Wewe wanaume wangekuwa wanakuona ungekuja mitandaoni kuiba wanaume wa Watu???tena waliopata mikaruzano Mwanaume yoyote hata akiwa kwenye ndoa hutongoza Ndo hulka yao. Kugombana Watu wanagombana Na tena kwa mambo makubwa Na hupatana au wasipatane Sasa Wewe kama uliitaji kuwa naye wala Sio neno maana mpaka anafika umri ule wangapi kawatokea..zamu yao iliisha, Pengine yangu imeisha kama MTU mpaka tunapoongeq yupo bado kwenye ndoa tena Na watoto wadogo Na mke ndani Na Talaka bado why Mimi Na wewe tube kuwafaidisha Watu.My problem is why following me?? Kilichokushinda kuwa naye kimya kimya ndicho hicho.Ungekuwa Na akili hata kidogo ungejiuliza why nalalamika.Hujui kitu shoga angu tuliza mkono.Mwenzio Huyo angalau nimeishi naye nyumba 1 najua mambo yake mengi Wewe hata kovu lake hulijui zaidi ya kumuona whatsaap you fool!! Sasa kwa taarifa yako..labda msiwepo Hapa nchini.Utaenda kukaa naye wapi?? Eti a nakupenda Unajua Mimi ananiambia nini???mwanaume Ambaye alifikia hatua ya kunywa Damu yangu Na Mimi yake akaapa hata itokee nini hatutaachana, ghafra anakuja kwako Na wewe atayafanya ya zaidi Na acha kujitapa shots.Nyamaza.Ninachoweza kukuhskikishia hufiki naye popote Na kwa vile hunijui vizuri unaweza jua natania au mwensawazimu ulichooosea Ni kunifuata Pm nakunitunishia misuri Eti kwa niniunaomba msamaha..Nyuzi zake unaziona.Umeona alivyokuwa anaongea juu yangu mpaka kuomba ushauri humu?? Utajua why nimefika Hapa.Eti ananipenda how sure are you!!?? Maneno hayo kawaambia wangapi so dont feel that special my dear...This is only the matter of time.Mwisho kwa kuwa Wewe Ndo umenichokoza Na sikuwa nakujua ukanilazimisha kukujua.Just wait and see!
Du! Pole! Hii ya kunyweshana damu siielewagi!! Yaani Ni kupendana sana na yamini au shida??? Kweli wengine hatujui kupendana, bali twaishi vizuri tu huku mtaani.
 
How many times umenifuata pm? How many times ulikua ukimtext? Mara ngapi unamfungulia thread? Hizo siku zote sikukuonyesha chochote ila ilifikia point is too much.. Halafu hayo mambo ya kuweka life status yake huku sio ustaarabu hata kidogo na hakupenda kupitia hayo aliyopitia yule nae ni binadamu jaribu kuwa na hekima
Nawashauri kutaneni mmalizane yaishe. Mapenzi ni ujanjaujanja tu, Jamaa kawashika sana. Hongereni kwa kuja kupenda
 
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza


Yaani bila kukuoa?
 
Aaaah! Wapi,Humu siamini kabisa.....Humu kasoro zimezidi Aisee!
 
Wanawake wa humu wanajifanya wao wajuaji sana,vigezo ving na kusahau umri unawapita ww umezaliwa 93 kuludii nyuma unashauz utazekeea kwen
 
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza

Na huyo mtoto wa kwanza apewe jina moja wapo la mod...lol
 
Hayo madesa yaliyochanganywa sasa kwenye hili vurumai la humu...asee!
Yaani mchumba wake mume anakuja juu kwa ex girlfriend ambae alikuwa awe mchumba?!
Hata sielewi!

Wadada muhimu kuwa makini, kuna wanaume Konyo sana, mwanaume kama huyu ili ajitetee pande zote Itabidi awaseme vibaya to each other. Atamsema vibaya A kwa B, halafu atachukua mambo ya B apeleke kwa A.
Mwisho wa siku akiona kugombana kama hivi ndio furaha ndio anajiona kidume.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom