[5/10, 15:21] Hii yote ni misamaha aliyokua akiombwa mtu anaonekana leo hafai, umemdharirisha vya kutosha hadi kutoa I'd ya mtu na privacy zake ila huyo huyo anaewapa taarifa akajisahau juzi tu katoka kuomba msamaha kwa huyu huyu mwanaume anaeonekana hafai
Nimekukumbuka.May God protect you.You will live in my soul forever.
[5/10, 15:21]
Kama unaamini katika Mungu.Naomba nipe nafasi ya mwisho.Kwa kipindi nilichotofautiana na wewe.Sipo sawa.Muda wowote naweza kufa.Niokoe.I love you more than you think.Nimeteleza.Nimekukosea sana.Wanaume wapo wengi But I swear umewashinda wote.Wewe ni tumaini langu kwa maisha yangu.Sio kwamba sikumbuki mazuri yako pia mapenzi yako kwangu ni makubwa kukoseana kupo Baba yangu.Huwezi amini kesho nilikuwa naenda kanisani ili mchungaji akaniombee na kutuombea wote na akupigie.Nipo mnyongee sana.Nalia kila mara kila nikikufikilia.Ukinipa nafasi tena ya upendeleo ntarudi JF kuomba msamaha hadharani japo sitataja jina kama mwanzo.Kwani kukupenda nakupenda mwenyewe sijalazimishwa na mtu.Please my Love.You are my soul forever.
[5/10, 15:21]
Nisamehe my love..Narudi kuomba msamaha.Shetani wakati mwingine anakuja na mbinu mbalimbali na wakati mwingine anamtumia mtu bila kujua Ni jukumu kwa anayemtambua kumkemea.Mimi unanijua.Ivi kama sio shetani ni nani?"kumbuka shetani hupenda kuona watu wa Mungu wakigombana na kufarakana.Yeye huona ushindi.Tumuonyeshe kwamba tunaweza pita kwenye majaribu mazito sana.Kwamba katika Jina lipitalo majina yote la Bwana Yesu anatutetea.
[5/10, 15:21]
Uhai tu unaoishi mpaka leo hujui pengine ni ili uje uniokoe.mimi.Umesema umegundua sijui nilitendalo. So why usiniokoe.Kama Mungu ambavyo hachoki kukuvusha na magumu yote anavyokupigania Please show the World that you can do the Difference.Pale ambapo wengine hawawezi naomba wewe onyesha tofauti.Kawaida upendo upo nyakati 2 wakati wa furaha na wakati wa shida.Watu wakiweza kuvuka nyakati zote hizi.Basi wanakuwa wanakomaa.Shida ipo aina nyingi.Na hii tuliyopo ni shida.Baba yangu wa maisha.Naomba nisamehe naomba uone kwamva Hili Ni jaribu lako yakupasa ulishinde.Kumbuka basi hata zuri lako moja.Mbona wapo waluowahi kukukosea ukawasamehe??mbona unashindwa kwangu.Kumbuka nawewe ulipoona moyo wako umevunjika..je hukuwai omba ushauri??Rudi nyuma kidogo.Tusiharibu ndoto zetu nzuri.Mungu yupo.Tumtumainie na Atatushindia.
[5/10, 15:21]
Nilikuwa napitia neno la mungu hapa
[5/10, 15:21]
Naumiaa sana
[5/10, 15:21]
Mungu anasema tuombe bila kuchoka
[5/10, 15:21]
Sikuwa nimepanga Kuku-block lakini Kwa sasa uvumilivu umenishinda Na pia ni samehe pale utakapoona sina tena mawasiliano nawe
[5/10, 15:21]
Naomba basi nafasi hata ya urafiki