Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Haha!, Ngoda humu ndani ni kaazi!.[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha!, Ngoda humu ndani ni kaazi!.[emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaniharibia concentration ujue. Akili yangu ipo busy juu ya kumlea mume hadi asahau michepuko[emoji78] [emoji78] [emoji78]
We hiyo huielewi mama!Ndanga ndo nini? nikajua ndaga ya kinyaki haha
Haahaa..! Kazi kweli kweli... Mana misuto imoo na ndoa za mitala nazo zimoo[emoji23] [emoji23] ila inafurahisha tu kuwa people they live beyond keyboards. Transforming charting into real life[emoji4]Haha!, Ngoda humu ndani ni kaazi!.[emoji28]
We ndugu yake mama kila ushauri unaotoa unahakikisha hela unaitaja. Unanifurahisha sana nikiona mwandiko wakofanya hima uolewe mapema ila ufanyie kazi swala la kumtii mumeo wanawake wengi tunakimbilia kupenda, hujapewa kazi ya kupenda umepewa nafasi ya kutiii ukishamtii yeye akupende akupe na hela , haikisha unatumia hela zake na udeke sahuri yako we kajifanye nunda humo ndani hutaki pesa ohooooo mi nakushauri tu
Haahaa..! Kazi kweli kweli... Mana misuto imoo na ndoa za mitala nazo zimoo[emoji23] [emoji23] ila inafurahisha tu kuwa people they live beyond keyboards. Transforming charting into real life[emoji4]
Khaa sio kwa kunitenga hukoWe hiyo huielewi mama!
Hahaha!, eti ya kinyaki [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Acha tu girl, I wish ingekuwa ya kinyaki.
Bi mkubwa ake espy ndo anaijua vizuri hii misamiati. [emoji2]
Ntakucopyia haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kazana mama uje unigaie maujuzi.
Hahahaaaaa!!! Ndio maana wale wanaowekaga mahusiano yao public humu hata huwa siwalaumu wala kuwashangaa!! Wanaepusha misongamano kama hii.Nimejifunza mengi leo shosti!!!
Yaani kabla ya kumkubalia mtu PM Ntamuanzishia thread kabisa na jina lake... Ili kama kuna wenzangu wanishambulie mapema kabla sijakosea njia aisee!
Haha haha... We Mzigua90 acha vituko[emoji23] [emoji23]Nimejaribu kufuatilia hii league sioni ilipoanzia. Naombeni msaada wa yalipoanzia haya majibizano na mie nile ubuyu.
Binadamu hanyimwi ubuyu ananyimwa pesa.
Ila nimegundua huku kuna mambo mengi zaidi ya nilivyokua nachukulia. Yani kuna watu wanaishi kama wanaonana vile.
NB: Kaka unaegombaniwa kama wewe ni Mkurya naomba namba wakitoka wengine unaonekana mtamu chief sio kwa majibizano hayo.
Mwanzoni I thought zile was just jokes tu[emoji23][emoji23][emoji23] aisee abiria chunga mzigo wako. Itabidi tu ili kuepuka mapinduzi namimi nimuweke hadharani "comforter In Chief" wangu.Hahahaaaaa!!! Ndio maana wale wanaowekaga mahusiano yao public humu hata huwa siwalaumu walavkuwashangaa!! Wanaepusha misongamano kama hii.
Ha haha ila kweli muwe mnaomba pesaWe ndugu yake mama kila ushauri unaotoa unahakikisha hela unaitaja. Unanifurahisha sana nikiona mwandiko wako
Hahahaaaaa!!! Ndio maana wale wanaowekaga mahusiano yao public humu hata huwa siwalaumu walavkuwashangaa!! Wanaepusha misongamano kama hii.
Wewe hupendi hela?Anapend hela
nimeamua kudeclear interest mkuu. Asinisahau kwenye ufalme wake.Haha haha... We Mzigua90 acha vituko[emoji23] [emoji23]
Mi sipendi kuomba. Maana nikikuomba ukaninyima ntakununia. Sasa ni bora bby ujiongeze tu unipe maana nastahili kupewa kwanini nikuombe?. Ila nimeshasemwa sana na hili suala langu la kujitia kibri kwenye hela, naanza kuomba. Asante kwa somo mamdogoHa haha ila kweli muwe mnaomba pesa
Khee wewe jitahidiMi sipendi kuomba. Maana nikikuomba ukaninyima ntakununia. Sasa ni bora bby ujiongeze tu unipe maana nastahili kupewa kwanini nikuombe?. Ila nimeshasemwa sana na hili suala langu la kujitia kibri kwenye hela, naanza kuomba. Asante kwa somo mamdogo
Nitajitahidi nimeona pesa heiletewi kiburi.Khee wewe jitahidi