Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Ndugu Yangu RRONDO Alishtukia figisu figisu za ID's mchanganyiko akaona eeh usikute namtongoza mtu yule yule kwa awamu ya tatu with majina tofauti tofauti. Msitufanyie hivyo jamani[emoji23]
 
Hebu muweke hadharani bwana. Muite na RRONDO afanye haraka, mana yule hadi na thread alianzisha, foleni yake sio ya nchi hii.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We mama niache nipumzike, drama za kiwango hiki siziwezi....naona mods wametembeza ban za nguvu! thread kama hizi raha usome kimya.
 
Na huyo mama wa watoto wawili yuko humu pia? Hongereni sana.
Hahahaaaa.... Mzigua90 ngoja aseme suuuu..! Yote nitayaweka tena nayaanzishia Uzi kabisa kama mbwai iwe mbwai.. "Liwalo na liwe"[emoji4]
 
Hahahaaaa.... Mzigua90 ngoja aseme suuuu..! Yote nitayaweka tena nayaanzishia Uzi kabisa kama mbwai iwe mbwai.. "Liwalo na liwe"[emoji4]
Hahahahahaa... kumbuka at your own risk mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom