Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Kama ni wa JF na hajakoma tu kwa threadi za humu, huyo sio wife material.
 
Ulichelewa kuja mjini...
 
Demu: yani wewe bahilii na,kujituma kote kukupa penzi ila hata kunipa pesa ya maana kusema asante.

Demu: yanii wewe kazi yakoo ni kuni t***mba tu ila vyako unakula,mwenyewe
 
Dear niboost Laki 7 ya kodi. Nitakurudishia jioni.
JIONI: Ziiiiiii

Ila kiuhalisia mwanamke haitakiwi kuomba hela...inabidi mwanaume ndo ampe hela..I had a friend of mine yeye kila mwez ukianza anakatiwa 400k! Yaan hiyo haina Tena kuongezewa..of course inatosha Sana! Hiyo ndo defn ya mwanaume...sio kila Mara uombwe hela jmani..toa tu! Kata fungu jema jikatae😊😊
 
Aiseee 400k huo si mshahara kabsa wa ticha na watumishi wengne waserikalini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwani lazima mpewe hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…