Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.

Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?

Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Kama ni wa JF na hajakoma tu kwa threadi za humu, huyo sio wife material.
 
Umenikumbusha machungu,kuna kitoto nilikitongoza tangu mwaka jana mpaka leo sijakatafuna ila nimepigwa mizinga karibia arobaini elfu inafika. Najaribu kaje nikapige mpini mara ooh naogopa namna ya kutoka,mara niko bleed,mara naomba nauli.
Ila hiyo hela katailipa siku yake ngoja nijifanye mtaka cha uvunguni.
Ulichelewa kuja mjini...
 
Demu: yani wewe bahilii na,kujituma kote kukupa penzi ila hata kunipa pesa ya maana kusema asante.

Demu: yanii wewe kazi yakoo ni kuni t***mba tu ila vyako unakula,mwenyewe
 
Dear niboost Laki 7 ya kodi. Nitakurudishia jioni.
JIONI: Ziiiiiii

Ila kiuhalisia mwanamke haitakiwi kuomba hela...inabidi mwanaume ndo ampe hela..I had a friend of mine yeye kila mwez ukianza anakatiwa 400k! Yaan hiyo haina Tena kuongezewa..of course inatosha Sana! Hiyo ndo defn ya mwanaume...sio kila Mara uombwe hela jmani..toa tu! Kata fungu jema jikatae😊😊
 
Ila kiuhalisia mwanamke haitakiwi kuomba hela...inabidi mwanaume ndo ampe hela..I had a friend of mine yeye kila mwez ukianza anakatiwa 400k! Yaan hiyo haina Tena kuongezewa..of course inatosha Sana! Hiyo ndo defn ya mwanaume...sio kila Mara uombwe hela jmani..toa tu! Kata fungu jema jikatae[emoji4][emoji4]
Aiseee 400k huo si mshahara kabsa wa ticha na watumishi wengne waserikalini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kiuhalisia mwanamke haitakiwi kuomba hela...inabidi mwanaume ndo ampe hela..I had a friend of mine yeye kila mwez ukianza anakatiwa 400k! Yaan hiyo haina Tena kuongezewa..of course inatosha Sana! Hiyo ndo defn ya mwanaume...sio kila Mara uombwe hela jmani..toa tu! Kata fungu jema jikatae[emoji4][emoji4]
Hivi kwani lazima mpewe hela?
 
Back
Top Bottom