Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitongoze basi...
Usisemee hivyo dear, Hizi rungu zitaumwa
Ha haaa basi kubalini kuhudumia
Pia tatizo la kutokubaliana mapema mkiwa mnaanza mapenzi, lazima mjadili hayo yote ikiwemo suala la hela.
THIS.
watu wanaingia kwenye mahusiano hawajui wanataka nini wala wenzao wanataka nini.
huku mwanamke anawaza ndoa. mwanaume hiyo hataki hata kusikia. so mwanamke anabaki kuwaza anataka nini kama sio mwili tu. ndo hapo mizinga inaanza.
ukweli ni kuwa kama mwanamke kakupenda na kaona unataka zaidi ya mwili wake wala hawezi kukupiga mizinga hivyo.
other than that, shes there for pure business.
kwani bakora hazichapwi vizuri
Acheni kulaumu wanawake, niwewe mwenyewe mwanaume katika kuchagua kwako, na unaona toka mwanzo anakupiga mizinga, unamzoesha tu.
Mambo ya hela yakienda kombo ndio unaanza lalamika na kuona hilo kwa macho mawili.
Sijui hao wanawake wako wapi wa kupiga mizinga mara zote.
Anzisheni kampeni ya tokomeza mizinga labda wenye tabia hiyo, wataona aibu.
Pia tatizo la kutokubaliana mapema mkiwa mnaanza mapenzi, lazima mjadili hayo yote ikiwemo suala la hela.
Sasa we unataka uchape tu bila kuhudumia. Vizuri gharama atii,lol
kama hata pesa za accessories za papuchi hazitoki, huyo ni wa kuacha kabisa bila huruma
Someni Proverb 19:4 mtapata jibu
usitongoze basi...