Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Kwani wewe uliolala nao wote wamekugharamia.....? Acheni kuwaonea wanaume wasiojielewa ambao mnawafanya wapange nyumba na kununua Vitz tu...
 
Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.

Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?

Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?

Ukitaka kuona dunia chungu uwe na videmu vingi alafu vipiga mizinga unaweza kutamani kufa,invoice sio invoice,yaani haya mambo yanakera sana,hujakaa sawa huyu anataka pesa ya saluni,mara huyu kuna gauni zuri kapita posta kaliona dukani sijui toleo jipya,mara huyu kiatu kipya kimeingia,mara huyu simu imedondoka kwenye maji wakati anafua hivyo ununue mpya,mara huyu kaibiwa simu na vibaka

Hujakaa sawa huyu anasema anaenda sendof ya rafiki yake,mara mchango wa harusi sijui nani yake anaolewa,yaani tabu tupu. Hata kama ni Atm zingechoka demands za hawa mabinti wa leo.
 
Kuna mmoja pale iringa alikuwa ananisumbua sanaaaaa... Nikamtumia laki 3 kwenye simu wakati tuko gesti nikatikita goma kavu kavu mpaka nikakinai..nikatoka nje nikapiga simu voda kuwa nimekosea kutuma hela naomba wairudishe...wakaiblock kwake ikarudi kwangu...asubui niko njiani narudi dar ile nafika mikumi network inashika nakutana na mimeseji ya matusiiiiii....masikini alienda mpaka vodashop wakamwambie mpunga umerudishwa kwa mwenyewe...shenzi ...yaani niko town kitambo afu ninunue mbunye iringa kwa laki tatu? Tufyakwaaa

Aisee wewe kiboko,huyo alikua changu umenunua au alikua demu wako wa siku zote?
Nimecheka sana. Laki tatu mbuye iringa alikua juu sana, hata ukichukua malaya las vegas casino hulipii hiyo hela yeye yuko huko porini atake kilo tatu hivi hivi,yaani dola 150 kwa rate ya sasa wakati Las vegas unapata dola 80.
 
Ukitaka kuona dunia chungu uwe na videmu vingi alafu vipiga mizinga unaweza kutamani kufa,invoice sio invoice,yaani haya mambo yanakera sana,hujakaa sawa huyu anataka pesa ya saluni,mara huyu kuna gauni zuri kapita posta kaliona dukani sijui toleo jipya,mara huyu kiatu kipya kimeingia,mara huyu simu imedondoka kwenye maji wakati anafua hivyo ununue mpya,mara huyu kaibiwa simu na vibaka

Hujakaa sawa huyu anasema anaenda sendof ya rafiki yake,mara mchango wa harusi sijui nani yake anaolewa,yaani tabu tupu. Hata kama ni Atm zingechoka demands za hawa mabinti wa leo.

wote wanini hao jamani khaaaa!
 
Wasichana kwa njaaa mimi nawapa Saluti ya Hitler.
Mtu kwao maisha mabovu, ila anataka vitu vya gharama eti Huawei hataki tumia anataka samsung. Kwao godoro hawajabadili toka amezaliwa. Kula penyewe shida ila ukikutana nae anataka aende hotel nzuri....
 
Back
Top Bottom