Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Pole sana mkuu.
Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.

Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?

Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
 
Kuna mmoja pale iringa alikuwa ananisumbua sanaaaaa... Nikamtumia laki 3 kwenye simu wakati tuko gesti nikatikita goma kavu kavu mpaka nikakinai..nikatoka nje nikapiga simu voda kuwa nimekosea kutuma hela naomba wairudishe...wakaiblock kwake ikarudi kwangu...asubui niko njiani narudi dar ile nafika mikumi network inashika nakutana na mimeseji ya matusiiiiii....masikini alienda mpaka vodashop wakamwambie mpunga umerudishwa kwa mwenyewe...shenzi ...yaani niko town kitambo afu ninunue mbunye iringa kwa laki tatu? Tufyakwaaa
Hahahaha akili zako zina akili
 
Hii ID kumbe ni komgwe jf
 
Hahahaha

Binafsi ukiniomba hela km ninayo nakupa ,km sina nakuambia subiri nikipata nitakupa, sasa ukileta mbwembwe hupati ng'ooo
 
Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.

Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?

Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Hahahaha, saidia tu kama unayo
 
Back
Top Bottom