Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Acheni kulaumu wanawake, niwewe mwenyewe mwanaume katika kuchagua kwako, na unaona toka mwanzo anakupiga mizinga, unamzoesha tu.
Mambo ya hela yakienda kombo ndio unaanza lalamika na kuona hilo kwa macho mawili.
Sijui hao wanawake wako wapi wa kupiga mizinga mara zote.

Anzisheni kampeni ya tokomeza mizinga labda wenye tabia hiyo, wataona aibu.
Pia tatizo la kutokubaliana mapema mkiwa mnaanza mapenzi, lazima mjadili hayo yote ikiwemo suala la hela.
 
Daah! jamani hii ni hatari yaan usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi!!! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa. Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani? mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?

Mimi kuna mdada mmoja sina mazoea naye kihivyo ila tunasalimiana tu kule wanakoishi wazazi wangu hapa Dar (jina kapuni). Nikiendaga kusalimia wazazi mara nyingi namuona ila nilikuwa sijuwi kama mumewe yuko nje ya nchi (mtaani wanadai ni zungu la unga huko Italy/Uturuki), bi dada kwa kweli anavutia ile mbaya. Kwa uzuri wake tu nilijuwa kuwa lazima atakuwa na jamaa mwenye pesa za hajabu na sikuwa na wazo lolote la kumtokea kwani ni jirani na wazazi. Siku moja niko bar fulani maeneo yale akaniona akiwa na mwenzake nikawakaribisha kwa kiungwana wakaja. Tukaanza kupiga stori tu kama kawaida then baadaye mwenzake alipoondoka yule bi dada akaanza kunisimulia matatizo yake na kuniomba nimuanzishie mtaji ili aweze awasomeshe watoto wake bila matatizo. Nikamtolea nje kiutu uzima, akuridhika akaniomba nimlipie pango la nyumba la miezi 6 ijayo kwani walikuwa wanadaiwa ku renew their lease nikamwambia sitaweza kwani nilijuwa ni mke wa mtu na anayekula mali ni mwingine ya nini mimi nigharamie? Mind you sikumtongoza wala nini na sina mazoea naye kihivyo. Kina dada wengine kwa kweli mmezidi.
 
Acheni kulaumu wanawake, niwewe mwenyewe mwanaume katika kuchagua kwako, na unaona toka mwanzo anakupiga mizinga, unamzoesha tu.
Mambo ya hela yakienda kombo ndio unaanza lalamika na kuona hilo kwa macho mawili.
Sijui hao wanawake wako wapi wa kupiga mizinga mara zote.

Anzisheni kampeni ya tokomeza mizinga labda wenye tabia hiyo, wataona aibu.
Pia tatizo la kutokubaliana mapema mkiwa mnaanza mapenzi, lazima mjadili hayo yote ikiwemo suala la hela.

tujadili!!!!hela ni kwa ustaa,mali na maendeleo hela yangu tujadili nini ,kama mke nampa mtaji asimame basi
 
hata sijamtongoza kaisha nifanya mumewe,wakina dada mmezidi badilikeni hizo njaa zenu zitawafikisha pabaya suburi awe kwenye himaya yako ndo umlilie hivyo vyote ndo maana wengi hamuolewi mwanaume akiona hivyo tu anakula kona fasta mwishowe mnazalia na kuzeekea kwa wazazi wengi.hako katabia sikapendi hata kidogo wanapenda kumgeuza mwanaume kuwa source of income mkome.
 
tujadili!!!!hela ni kwa ustaa,mali na maendeleo hela yangu tujadili nini ,kama mke nampa mtaji asimame basi

Maana ya kujadili kitu, ndio km hivyo KUFALAZIMA kwamba utamfungulia mradi, ama utamwambia nitakuwa nikikupa hela kwa wiki au mwezi. Ama hata sikupi hela kabisa sababu una kazi ama biashara yako.
So wewe utatoa msaada mkubwa pindi akikwama tu. Sasa wewe unaona raha umempata mdada hamuongei mambo km hayo yakitokea mnalalama.
 
Last edited by a moderator:
aisee sijui kwanini mm mwanamke hata awe mzuri vipi hata ndio niwe kwenye harakati za mwisho akinipiga mzinga tuuu kaharibu kajipa mwenyewe tiketi.
namkaushia mazima siwapendi kabisa madada wakihivyo aisee sijui kwanini.

kunamadem wengine hujamtongoza mnajuana juu kwa juu tuu lakini ndio hivyo sasa anakupiga mzinga mpaka unashangaa anakuchukuliaje sijui ndio kujitongozesha??

kuna 1 mm alinishangaza sana alinipiga Mzinga na kunambia anashida hataki nimfikilie vibaya na akasema nisimchukulie kama anashida na hera kumwambia aniambie akawa anaona Noma kuni text anaomba Hera ya ped sikujibu sms nikamtumia TIGO pes nikapiga kimya
 
hilo sio tatizo hapo sawa ila mambo ya kipuuzi afanye kwa hela yake kama hajitambui,nimempenda natural why atake hela akawe kinyago lilopigwa msasa na nywele bandia????
 
Last edited by a moderator:
aisee sijui kwanini mm mwanamke hata awe mzuri vipi hata ndio niwe kwenye harakati za mwisho akinipiga mzinga tuuu kaharibu kajipa mwenyewe tiketi.
namkaushia mazima siwapendi kabisa madada wakihivyo aisee sijui kwanini.

kunamadem wengine hujamtongoza mnajuana juu kwa juu tuu lakini ndio hivyo sasa anakupiga mzinga mpaka unashangaa anakuchukuliaje sijui ndio kujitongozesha??

kuna 1 mm alinishangaza sana alinipiga Mzinga na kunambia anashida hataki nimfikilie vibaya na akasema nisimchukulie kama anashida na hera kumwambia aniambie akawa anaona Noma kuni text anaomba Hera ya ped sikujibu sms nikamtumia TIGO pes nikapiga kimya

wanatia sana huruma ,mbona wengine wanajielewa hao ndo wanakufanya usiipende hiyo jamii bali uikosoe
 
Mie kwanza kama tutaanzia kuwa marafiki lazima nitengeneze barrier ya kutopigwa mizinga.Namchana live tu kuwa mie mwanamke akinipiga mzinga tu amejipa taraka. Nashukuru wanaogopa kunipiga mizinga..Ila tatizo wanaume wengi wanatengeza mazingira ya kupigwa mizinga wenyewe kwa nini usipigwe sasa???

Mungu tuepushe mbali na wapiga mizinga wooote kwa ujumla..ameen.
 
kama kunauwezekano wa kuiba akaibe ili ahakikishe anatoa mawe au akaendeshe bodaboda (chuna buzi kwa kasi ya kimbunga)
Toa helaaaaaa, mpe helaaa, mpe pesa, mpe mawe, mpe dolari, mpe faranga, mpe sabuni ya rohooooo
 
Mnacomplicate sana maisha watu humu ndani,sioni sababu ya kulalamika hapa,sidhani kama kuna watu watakuja kuoa humu ndani.

Sababu kama unalalamika kuombwa hela ya dawa,ukiambiwa ukweni nyumba imebomolewa na mafuriko utafanyaje,au utachukulia umepewa tu taarifa ili ufahamu,baasi.

Unalalamika kuombwa msaada wa kusaidia mgonjwa apone? We ni undertaker nini?
Hujaelewa...Mtoa mada kasema hata dem mwenyewe hajatongozwa kaanza mizinga yote hiyo, je akitongozwa?

Halafu kwenye mizinga yote umeona ya matibabu tu, je hiyo mingine ya kipuuzi?

Kuhusu nyumba ya wakwe kuchukuliwa na mafuriko, hawana watoto wengine au insurance mpaka jamaa ndo awe Black jesus? Kwani alikuja kuoa familia nzima? Kifupi mume wa ndugu yenu kutoa ni Favour na si lazima na wala ndugu yenu kuolewa si insuarance ya Matatizo ya familia yenu na ukoo wenu!
 
Back
Top Bottom