Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 757
Wanauza kinyemela,lakini ukimuita yeye ni muuza nyapu inakuwa shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekusikia kwa kweli watu wote duniani tunapenda watu wanao add value to our life
wanauza kinyemela,lakini ukimuita yeye ni muuza nyapu inakuwa shida.
mimi mwanamke akiniomba hela tu kesho yake nampiga chini.
Daah! jamani hii ni hatari yaan usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi!!! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa. Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani? mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Acheni kulaumu wanawake, niwewe mwenyewe mwanaume katika kuchagua kwako, na unaona toka mwanzo anakupiga mizinga, unamzoesha tu.
Mambo ya hela yakienda kombo ndio unaanza lalamika na kuona hilo kwa macho mawili.
Sijui hao wanawake wako wapi wa kupiga mizinga mara zote.
Anzisheni kampeni ya tokomeza mizinga labda wenye tabia hiyo, wataona aibu.
Pia tatizo la kutokubaliana mapema mkiwa mnaanza mapenzi, lazima mjadili hayo yote ikiwemo suala la hela.
tujadili!!!!hela ni kwa ustaa,mali na maendeleo hela yangu tujadili nini ,kama mke nampa mtaji asimame basi
Maana ya kujadili kitu, ndio km hivyo KUFALAZIMA kwamba utamfungulia mradi, ama utamwambia nitakuwa nikikupa hela kwa wiki au mwezi. Ama hata sikupi hela kabisa sababu una kazi ama biashara yako.
So wewe utatoa msaada mkubwa pindi akikwama tu. Sasa wewe unaona raha umempata mdada hamuongei mambo km hayo yakitokea mnalalama.
aisee sijui kwanini mm mwanamke hata awe mzuri vipi hata ndio niwe kwenye harakati za mwisho akinipiga mzinga tuuu kaharibu kajipa mwenyewe tiketi.
namkaushia mazima siwapendi kabisa madada wakihivyo aisee sijui kwanini.
kunamadem wengine hujamtongoza mnajuana juu kwa juu tuu lakini ndio hivyo sasa anakupiga mzinga mpaka unashangaa anakuchukuliaje sijui ndio kujitongozesha??
kuna 1 mm alinishangaza sana alinipiga Mzinga na kunambia anashida hataki nimfikilie vibaya na akasema nisimchukulie kama anashida na hera kumwambia aniambie akawa anaona Noma kuni text anaomba Hera ya ped sikujibu sms nikamtumia TIGO pes nikapiga kimya
na nyie wanaune mmezidi kulalamika sana.TUMEWACHOKA
NDo mtafute zenu hata sisi sio WORLD BANK kama UNAKOPA SAWA sawa.
Toa helaaaaaa, mpe helaaa, mpe pesa, mpe mawe, mpe dolari, mpe faranga, mpe sabuni ya rohooooo
andamana basi sio kutujazia maneno ..
We unalalamika, wenzio wanatoa tuelewe vp hapo?
money for exchange with sex upo
Hujaelewa...Mtoa mada kasema hata dem mwenyewe hajatongozwa kaanza mizinga yote hiyo, je akitongozwa?Mnacomplicate sana maisha watu humu ndani,sioni sababu ya kulalamika hapa,sidhani kama kuna watu watakuja kuoa humu ndani.
Sababu kama unalalamika kuombwa hela ya dawa,ukiambiwa ukweni nyumba imebomolewa na mafuriko utafanyaje,au utachukulia umepewa tu taarifa ili ufahamu,baasi.
Unalalamika kuombwa msaada wa kusaidia mgonjwa apone? We ni undertaker nini?