Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

Woga wako tu mkuu!
Endelea kutongoza lakni usiwe serious sana kwa hao viumbe. We hujui kutongoza ni kuyatafuta matatizo?

Usiwe na huruma na mwanamke
Bro kiukweli napenda kutongoza wanawake hasa nikiwa maeneo si fahamiki halafu huwa natamani siku nikiwa na mtongoza mdada anifokea aniitie watu wake wanisute๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ila ndio hivyo haijawi nitokea
 
Tafuta hela tafuta hela tafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ