EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mkuu hiyo ni kweli kabisa wao wanapenda kuweka vishoka tu,,,hapo mmefanya maamuzi ya kiume maana hao sio wife material shida kidogo wameshindwa kuvumilia [emoji16][emoji16]Nipo na mchizi wangu, kaja na wadada wawili tukawa tunatoka out, njiani gari ikazingua wale mademu kwa kuwa wanajua destination wakachukua bajaji wakatangulia.
Yaani gari ikipata hitilafu wanawake wanaona kama wanadhalilishwa shenzi sana [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34], aisee nilimind sana nkamwambia jamaa turudi twende kijiwe kingine baada ya gari kutengemaa tuwaache wale wanawake wafanye yao, Sasa kama wameagiza vinywaji na vyakula wakizani tutalipa imekula kwao.
Uzi tayari karibuni tujadiliView attachment 1127822View attachment 1127824
Mkuu hiyo ni kweli kabisa wao wanapenda kuweka vishoka tu,,,hapo mmefanya maamuzi ya kiume maana hao sio wife material shida kidogo wameshindwa kuvumilia [emoji16][emoji16]
Komenti tayari [emoji16][emoji16][emoji16]
Tanzania hii hii mnatoka out asubuhi?
Huyo dada amevaa burett au mana so kwa kifua hicho
Bullet proof sio, ni noma sanaHuyo dada amevaa burett au mana so kwa kifua hicho
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] acha wivuAfu mkuu huyo dada anayepiga gambe ana Unyayo kama sio mwanamke...
comment tyr
Wanawake waivyo ni kuwatafuna bass
Huyo mwanamke kama big show aise
Pole mkuu huyo mwanamke ulishikiwa bunduki niniDem wangu mkuu acha dharau[emoji34][emoji34]
Pole mkuu huyo mwanamke ulishikiwa bunduki nini
Itakuwa walikuwa na hela ndo maana wakatangulia[emoji23][emoji23]