EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #61
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] acha zako mkuu tutaenda na hilihili VWSiku nyingine usije kunichukua na mgari wako mbovu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] acha zako mkuu tutaenda na hilihili VWSiku nyingine usije kunichukua na mgari wako mbovu!
Mmh labda kama VW Model mpya..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] acha zako mkuu tutaenda na hilihili VW
Mmh labda kama VW Model mpya..
You got a fast car?
🤣🤣🤣[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kila siku unaachwa wewe tu ha ha ha
hawahangaiki na gari ikiharibika wala hawachimbagi kaburi.
Mie mmbishi sana ndomana naachwa
Hongereni sana,mmefanya maamuzi ya msingi sana
ha ha ha pole mkuu
Watakuwa maisha bora hao haaa haaaTanzania hii hii mnatoka out asubuhi?
Asante mdada ila nshazoea
Watakuwa maisha bora hao haaa haaa
Safi sana! Siku nyengine tembea na mabomu(guruneti). Wakizingua tu unawaacha wanatembea mbele hatua kadhaa kisha unachukua guruneti moja unawarushia.