Wadada mnakera sana some times

Wadada mnakera sana some times

Mnawatia aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wameona hawa nao mgari wao mbovu bovu tuchekwe[emoji119]

Halafu ujinga mkiwa barabarani hata anayekujua akipita anakuchora tu. Mwisho wa siku mkionana anakwambia niliwaona sehemu flani gari yenu sijui ilikuwa imebuma[emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] baba yao analo???
 
Mnawatia aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wameona hawa nao mgari wao mbovu bovu tuchekwe[emoji119]

Halafu ujinga mkiwa barabarani hata anayekujua akipita anakuchora tu. Mwisho wa siku mkionana anakwambia niliwaona sehemu flani gari yenu sijui ilikuwa imebuma[emoji23][emoji23]
Mie huku mgeni ila wanawake wanakera saaana yaaani ningekua naishi hapa ningewazabua mabanzi hadi wanishtaki sheeee...nzi zao
 
[emoji23][emoji23]ndio kwanza unachukua simu unafungua JF[emoji119][emoji119]

[emoji23][emoji23]Atumie magari mazuri, aache ya kuunga unga. (halafu yana tabia siku upo na watoto wazuri ndio yanazingua[emoji23][emoji23])
Asa unataka nishuke kutengeneza au
 
Akishika simu aingie JF napasua simu[emoji34][emoji34][emoji34]
[emoji23][emoji23]ndio kwanza unachukua simu unafungua JF[emoji119][emoji119]

[emoji23][emoji23]Atumie magari mazuri, aache ya kuunga unga. (halafu yana tabia siku upo na watoto wazuri ndio yanazingua[emoji23][emoji23])
 
Nipo na mchizi wangu, kaja na wadada wawili tukawa tunatoka out, njiani gari ikazingua wale mademu kwa kuwa wanajua destination wakachukua bajaji wakatangulia.

Yaani gari ikipata hitilafu wanawake wanaona kama wanadhalilishwa shenzi sana [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34], aisee nilimind sana nkamwambia jamaa turudi twende kijiwe kingine baada ya gari kutengemaa tuwaache wale wanawake wafanye yao, Sasa kama wameagiza vinywaji na vyakula wakizani tutalipa imekula kwao.

Uzi tayari karibuni tujadiliView attachment 1127822View attachment 1127824
Sasa Madam B hapo juu anahusikaje?
 
[emoji23][emoji23]ndio kwanza unachukua simu unafungua JF[emoji119][emoji119]

[emoji23][emoji23]Atumie magari mazuri, aache ya kuunga unga. (halafu yana tabia siku upo na watoto wazuri ndio yanazingua[emoji23][emoji23])
Hahaha hahaha
Kama vile ulikuwepo!

Huwa sijigusii mimi, nalog in JF natuliaa! Kama ni kusukuma wasukume nikiwa ndani
 
Back
Top Bottom