EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #21
Sasa apo si utamuaribia mshikaji wako kama alikuwa anafukuzia mama.!?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] baba yao analo???[emoji23][emoji23] wamewatelekeza na mgari wenu mbovu bovu
[emoji125][emoji125]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] baba yao analo???
Mie huku mgeni ila wanawake wanakera saaana yaaani ningekua naishi hapa ningewazabua mabanzi hadi wanishtaki sheeee...nzi zaoMnawatia aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wameona hawa nao mgari wao mbovu bovu tuchekwe[emoji119]
Halafu ujinga mkiwa barabarani hata anayekujua akipita anakuchora tu. Mwisho wa siku mkionana anakwambia niliwaona sehemu flani gari yenu sijui ilikuwa imebuma[emoji23][emoji23]
Kaja kutoa povu[emoji23][emoji23] wamewatelekeza na mgari wenu mbovu bovu
[emoji125][emoji125]
[emoji2958][emoji2958][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Kaja kutoa povu
Mimi gari ikibuma huwa nahisi kulia, kwanza sitashuka kwa hiyo gari mpaka iwake
Mwenyewe[emoji2958][emoji2958][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Asa unataka nishuke kutengeneza au[emoji34][emoji34]walewale
Asa unataka nishuke kutengeneza au
Unasimama na man wako nje unampa moyo wakati fundi akichakarikaAsa unataka nishuke kutengeneza au
[emoji23][emoji23]ndio kwanza unachukua simu unafungua JF[emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23]Atumie magari mazuri, aache ya kuunga unga. (halafu yana tabia siku upo na watoto wazuri ndio yanazingua[emoji23][emoji23])
Akishika simu aingie JF napasua simu[emoji34][emoji34][emoji34]
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa unataka afanyaje ashike spana kucha zenyewe bandia[emoji3][emoji3]
Sasa Madam B hapo juu anahusikaje?Nipo na mchizi wangu, kaja na wadada wawili tukawa tunatoka out, njiani gari ikazingua wale mademu kwa kuwa wanajua destination wakachukua bajaji wakatangulia.
Yaani gari ikipata hitilafu wanawake wanaona kama wanadhalilishwa shenzi sana [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34], aisee nilimind sana nkamwambia jamaa turudi twende kijiwe kingine baada ya gari kutengemaa tuwaache wale wanawake wafanye yao, Sasa kama wameagiza vinywaji na vyakula wakizani tutalipa imekula kwao.
Uzi tayari karibuni tujadiliView attachment 1127822View attachment 1127824
Sasa Madam B hapo juu anahusikaje?
Hahaha hahaha[emoji23][emoji23]ndio kwanza unachukua simu unafungua JF[emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23]Atumie magari mazuri, aache ya kuunga unga. (halafu yana tabia siku upo na watoto wazuri ndio yanazingua[emoji23][emoji23])
Hahaha hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] sasa unataka afanyaje ashike spana kucha zenyewe bandia[emoji3][emoji3]