Wadada mnaotokea Muleba na Karagwe mnakuja kutafuta maisha Dar hebu badilikeni

Hawa wote wanauza tako, ni wanaume wa mikoani hawa. Shida hunza pale mwanamme wa mkoani anapotaka kuonekana, nae wa mjini.

Atanza kusuka nywele, sikio moja aweke heleni.


Rejea munekano wa Muha stadi, Diamond Platinumz na mdogo wake wa hiyari Mbilikimo Harmonize.
 


Hiyo Muleba na Karagwe imekuwa ni fashion tu ila ukweli ni kwamba kuna wa Bukoba mjini, Mwanza, na Mkoa mzima wa Kagera.
 
We jamaa Kausha .
 
Hao wadada walioenda Dar ni wavuvi Haramu? sio kweli hiyo ni tabia tu ya wanawake wa kagera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umeongea mkuuu unajua. Watu wengi wana mawazo mgando sana vichwani mwao yaani wengi wakiona kitu fulani wanahusisha mazingira kijinga jinga umemweleza vizuri sana kuhusu dodoma kipindi cha bunge. Pale Dodoma wanaamia watu kutoka Dar es salaam na Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza Bangi za Manzese zinakufanya uwe chizi hawo wakina Amber Ruth na wenzake wote wanatokea Muleba, atakama unachuki na kabila fulani haitakufanya upate maisha mazuri. Kwanza mtoto wa kiume unalalama mtandaoni eti mwanamke Malaya sasa ulitaka wewe ndio upakuliwe. Ingekuwa wanawake wamekuja kutoa malalamiko tungewaonea huruma wanawake sasa wewe mwanaume mzima unaumia roho, mwanamke kupakuliwa na wakati duniani wamekuja kwa ajili ya kupakuliwa nenda na wewe ukapakuliwe kama unaona wanapata faida. Mtoto wa kiume unamuonea donge mwanamke huo ni Ushoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakataa nini sasa..?!

Mambo ya uvuvi haramu si ya juzijuzi tu hapa...

Wahaya hapa Dar wako kwenye hiyo biashara kitambo sana kabla hata Nyerere hajang'atuka Urais kumuachia Mzee Mwinyi!
Sahihi kabisa..... Ila napenda nikupe sababu kwa niaba ya wote humu jf.. kwanini hii ilikuwa inatokea, wakati wahaya Mila zao ziko ni very strictly, kuanzia mavazi, lugha zenye staha heshima kwa wakubwa nk, tofauti na baadhi ya makabila,.....
Sababu Moja kuu....ni Sheria kali juu ya binti anayebeba mimba kabla ya kuolewa, hasa hasa kama binti anatokea kwenye kaya inayo heshimika n.k......hii kwa wahaya ilichukuliwa kama balaa kubwa kwa familia na ukoo kwa ujumla,na ilikuwa kawaida binti huyu atumbukizwe kwenye swamp/water body hadi kifo ili kufuta balaa na aibu.....
Hivyo basi mara tu binti alipopata ujauzito, wazazi wake hasa wa kike walikuwa wanadevelop sympathy/empathy, hivyo wanafanya mpango kwa Siri kubwa kwa kumpatia pesa ya nauli binti ili atoroke kuepusha aibu na balaa pale kijijini.............
Kumbuka huyu binti bado mdogo, hajaweza kujitegemea, hajui eandako, hana exposure, na yuko limited na support kutoka kwenye jamii yake ambayo imemtenga.......
Alternatively ilikuwa rahisi Sana kuingia kwenye mtego wa prostitution huko aendako.
Ikumbukwe pia kuwa hawa prostitute walikuwa na tabia ya ku keep few contacts na wazazi hasa wakina mama waliowasaidia watoroke,kwa kuandika barua na kutuma pesa na zawandi mbali mbali hasa mavazi (vitenge na kanga)....... Hivyo basi ikitokea binti mwingine pale kijijini au jirani Naye yakamkutua ilikuwa rahisi Sana kukimbilia kwa mwenyeji wake iwe Dar, Mombasa, Nairobi, Kampala, au visiwani................

Unakataa nini sasa..?!

Mambo ya uvuvi haramu si ya juzijuzi tu hapa...

Wahaya hapa Dar wako kwenye hiyo biashara kitambo sana kabla hata Nyerere hajang'atuka Urais kumuachia Mzee Mwinyi!
 
Hao wa Karagwe na Ngara si ndiyo maarufu kwa ubeki tatu!!

Yawezekana wanarubuniwa na kusafirishwa kwa kazi za uyaya hlf wanajikuta kwenye madanguro wanauzishwa nyuchi.
 
Unacha wapi wanawake wa manyara, singida, na mikoa ya kusini Lindi na ntwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…