Wadada mnaovaa mawigi kuweni makini mnapopita kwenye hii milango ya kisasa

Wadada mnaovaa mawigi kuweni makini mnapopita kwenye hii milango ya kisasa

FB_IMG_16876056504873326.jpg
 
Leo nimeshuhudia wigi la mdada limeanguka baada ya kunata kwenye mlango,aisee ki ukwel ana kichwa kibaya saaaaanaa.

MY TAKE
Kama ni mdada na unavaa mawigi ongeza umakini usije kuaibika kama una kichwa kibaya.
Picha Iko wapi
 
Wanaume Pale tunapoona uhalisia wa mtu tunaona ni mbayaaa Matokeo yake tunadanganywa ukiweka ndani usiku anatoa kope anatoa wigi unajiuliza ni yule binti au ni mjusi wa kale nimeoa?

Hicho ulichokioana ndo halisi, original, genuine.
 
Na uvundo pia, wazingatie usafi.

Utakuta mdada anatinga wigi hilo hilo kila siku mpaka linamea magaga ya ngozi ya kichwa. Ukilikung'uta linatoka vumbi kama gunia la ngano iliyokobolewa.
 
Back
Top Bottom