Wadada mnaovaa mawigi kuweni makini mnapopita kwenye hii milango ya kisasa

Wanaume Pale tunapoona uhalisia wa mtu tunaona ni mbayaaa Matokeo yake tunadanganywa ukiweka ndani usiku anatoa kope anatoa wigi unajiuliza ni yule binti au ni mjusi wa kale nimeoa?

Hicho ulichokioana ndo halisi, original, genuine.
😅😅😅 wa hivi wapo na wanaboa sana.
 
Wanaume Pale tunapoona uhalisia wa mtu tunaona ni mbayaaa Matokeo yake tunadanganywa ukiweka ndani usiku anatoa kope anatoa wigi unajiuliza ni yule binti au ni mjusi wa kale nimeoa?

Hicho ulichokioana ndo halisi, original, genuine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Sure. Kuna mmoja nilimuona pia beria ya SAUT Malimbe, imeinuliwa gari lipite nae akataka kupita chini ya beria wigi likanasa kwenye beria, aisee anakichwa kama mtoto hajakomaa utosi halafu nywele zinahesabika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaj
 
Kuna mmoja nilimpata club mzuri sanaaa, Asubuhi naamka naona kichwa kimejaa mabaka kama drafti. Nilipiga kelele nikasema chizi kaingia nyumbani kwangu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaa kwa sautii kubwaaa, woiiiiih
 
Wanaume Pale tunapoona uhalisia wa mtu tunaona ni mbayaaa Matokeo yake tunadanganywa ukiweka ndani usiku anatoa kope anatoa wigi unajiuliza ni yule binti au ni mjusi wa kale nimeoa?

Hicho ulichokioana ndo halisi, original, genuine.
Ukitaka mwanamke muwahi kabla hajaamka wa huku mtaani na mitandaoni wanajibusti kila kona, ukifika naye ndani unaweza mkimbia
 
Hahaha Namsikiliza kp wa clouds asubuhi hii anasema unakutana na aliyevaa godoro kuboost shape halafu mvua ikamnyeshea godoro kinajaa maji kinakuwa kizito akikaa kwenye kiti maji yanakamulika waaaaaa.
 
Hii jinsia haijiamini kabisa.
Wao muda wote wanawaza mapenzi tu ndo maana wanataka kuvutia muda wote
 
Back
Top Bottom