π π π wa hivi wapo na wanaboa sana.Wanaume Pale tunapoona uhalisia wa mtu tunaona ni mbayaaa Matokeo yake tunadanganywa ukiweka ndani usiku anatoa kope anatoa wigi unajiuliza ni yule binti au ni mjusi wa kale nimeoa?
Hicho ulichokioana ndo halisi, original, genuine.
Wewe ndiyo umeua bend moja kwa moja.Na uvundo pia, wazingatie usafi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume Pale tunapoona uhalisia wa mtu tunaona ni mbayaaa Matokeo yake tunadanganywa ukiweka ndani usiku anatoa kope anatoa wigi unajiuliza ni yule binti au ni mjusi wa kale nimeoa?
Hicho ulichokioana ndo halisi, original, genuine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaajSure. Kuna mmoja nilimuona pia beria ya SAUT Malimbe, imeinuliwa gari lipite nae akataka kupita chini ya beria wigi likanasa kwenye beria, aisee anakichwa kama mtoto hajakomaa utosi halafu nywele zinahesabika
Nilijua utaangua kicheko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaa kwa sautii kubwaaa, woiiiiihKuna mmoja nilimpata club mzuri sanaaa, Asubuhi naamka naona kichwa kimejaa mabaka kama drafti. Nilipiga kelele nikasema chizi kaingia nyumbani kwangu[emoji23][emoji23]
Kwann nisichekee sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua utaangua kicheko.
Coca mbona una sura ya kike?Kwann nisichekee sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£π€£Kuna mmoja nilimpata club mzuri sanaaa, Asubuhi naamka naona kichwa kimejaa mabaka kama drafti. Nilipiga kelele nikasema chizi kaingia nyumbani kwanguππ
ππππ cheka mpaka ujambe.Kwann nisichekee sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nlojaliwa eti. [emoji23][emoji23][emoji23]Coca mbona una sura ya kike?
Ukitaka mwanamke muwahi kabla hajaamka wa huku mtaani na mitandaoni wanajibusti kila kona, ukifika naye ndani unaweza mkimbiaWanaume Pale tunapoona uhalisia wa mtu tunaona ni mbayaaa Matokeo yake tunadanganywa ukiweka ndani usiku anatoa kope anatoa wigi unajiuliza ni yule binti au ni mjusi wa kale nimeoa?
Hicho ulichokioana ndo halisi, original, genuine.
Pale Papi Chulo sea food bar yule mdada muhuni kweliππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaa kwa sautii kubwaaa, woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo uiteee majirani, umevamiwa na chiziiii??Pale Papi Chulo sea food bar yule mdada muhuni kweli[emoji23][emoji23]
Kuna mmoja nilimpata club mzuri sanaaa, Asubuhi naamka naona kichwa kimejaa mabaka kama drafti. Nilipiga kelele nikasema chizi kaingia nyumbani kwangu[emoji23][emoji23]
Hahaha Namsikiliza kp wa clouds asubuhi hii anasema unakutana na aliyevaa godoro kuboost shape halafu mvua ikamnyeshea godoro kinajaa maji kinakuwa kizito akikaa kwenye kiti maji yanakamulika waaaaaa.Ukitaka mwanamke muwahi kabla hajaamka wa huku mtaani na mitandaoni wanajibusti kila kona, ukifika naye ndani unaweza mkimbia
Hii jinsia haijiamini kabisa.Hahaha Namsikiliza kp wa clouds asubuhi hii anasema unakutana na aliyevaa godoro kuboost shape halafu mvua ikamnyeshea godoro kinajaa maji kinakuwa kizito akikaa kwenye kiti maji yanakamulika waaaaaa.
Inaelekea unampenda sana Halima MdeeNawapenda sana hawa wadada wenye style huyo ya nywele.View attachment 2673599View attachment 2673600View attachment 2673601