Wadada mnavyowatembelea wapenzi wenu wa kiume, muwe wabunifu

umesahau kumfanya akukune matackle
 
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
 
Wanaume wa Dar au wa Mkoani?!
 
Utopia. Ukibahatika kupata hayo niko tayari kumsaliti mama ngosha…
 
Tatizo wengi wao hawana muda wa kufanya hayo yote mkuu,anakuja mmalizane upesi apitilize kwa mwanaume mwingine,[emoji23]
 

In exchange of? Yeye mwanamke akutake na kufanya haya kwa sababu gani?

1. Wewe ni handsome Sana kuliko wote?
2. Hata nauli ya Kuja kwako hujampa.
3. Huna hela unawaza mapenzi tu.

Mwanamke wa dunia hii ya Leo, lazima awe na sababu ya kumpenda mwanaume, na akiwa nayo hafundishwi namna ya kufanya.

Mwanamke will perform beyond expectations akiguswa mwenye hisia zake, and never mentally, what to do?

1. Make her happy and try to be more understanding.
2. Love her without reasons, Yani we mpende tu.
3. Mdanganye, sio vitu vyote vya kumwambia mwanamke.
4. Mpe pesa
5. Mpe pesa
6. Mpe pesa
7. Nasema mpe pesa
8. Jaman mpe pesa
9. Kurahisha mpe atm ya mshahara
 
Wangapi wanapesa nabado mapenzi yana washinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…