Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

Kila siku nawapigia kelele humu hawa wanawake sio wa kuwachekea hamuelewi ona Sasa........ Believe me matatizo yote ya mwanaume chanzo Ni mwanamke ..... Wanaume wenzangu Kuna maisha matamu bila uwepo wa hawa viumbe...trust ..... me .


Hawa watu sio hawana fadhila hata kidogo....yaani hawadhaminiki.

Ila ndio hivyo Kuna wanaume wachache mmejitolea kuwa punda wao fresh tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] komaeni na mizigo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…