Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Khaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jaman dada hilo cheko vipiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimefurahi tuu mimiKhaaaa
Jaman dada hilo cheko vipiiii
Hahahhaha sio kwa cheko mpaka nimeogopaNimefurahi tuu mimi
Mie nafurahi tuu sipati notification kwa hiyo nikikubahatisha ka hivi lazima nijichekesheHahahhaha sio kwa cheko mpaka nimeogopa
Hata ingekua jero mkuu, pesa ni yangu.Na wewe acha kelele yaani kimuazima huyo demu elfu 30 ndiyo unatanganza huku.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jana tatizo hilo lilianza kwangu bada ya kama masaa machache notification zikarudiMie nafurahi tuu sipati notification kwa hiyo nikikubahatisha ka hivi lazima nijichekeshe
Woooiii....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jana tatizo hilo lilianza kwangu bada ya kama masaa machache notification zikarudi
Ngoja siku nikuazime nioneHahaha
Sio wanawake tuu hata wanaume hawarudishi
Sio kwa cheko hili... kuna mtu unamdai wewe![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poyee jamaanWoooiii....
Mie nshajichokea sasa
EwaaaaaNgoja siku nikuazime nione
Hahaha sio wewe kweeeliSio kwa cheko hili... kuna mtu unamdai wewe!
AsantePoyee jamaan
Yaani nikiisha kutongoza ujue suala la kukukjopesha halipo. na nikikukopesha ujue nimekupata na utalipa in other waysHv unaanzaje kumlipa mwanaume? Ila kama hujawai kunitongoza siwezi kukukopa hata.so naosepa na hela zao ninakuwa Nina haki nazo
Ukimkopesha mwanamke weka maandishi na saini ya dole gumba vinginevyo imekula kwako.Habari za wakati huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, natoa rai kwa wadada (wanawake) wote kwamba mnapoazima fedha kwa marafiki zenu wa kiume, muwe waaminifu katika urejeshaji. Kuna dada mmoja ambaye ni colleague wangu kazini, majuzi mida ya saa tano usiku nikashangaa simu inaita kupokea ananisalimia nakuniambia kwamba ana shida moja kubwa sana anahitaji msaada wangu.
Kumuuliza nini tatizo, akaniambia mtoto wake kesho yake anacommence mitihani ila wameambiwa bila kuclear ada anayodaiwa hatoruhusiwa kufanya mitihani. Hivyo alikua anaomba nimuazime kiasi kadhaa cha fedha akalipe mtoto aruhusiwe kufanya mitihani na angenirudishia baada ya siku mbili. Bila hiyana nilimsaidia kwakua naelewa umuhimu wa mtoto kwenda shule na pia naelewa matatizo tumeumbiwa binadamu hivyo yatupasa kusaidiana pale tunapokua tuna uwezo wa kufanya hivyo.
Cha ajabu sasa, yule dada siku mbili zilipita nikaona kimya, zimepita siku takribani 5 sasa naona yuko kimya. Hakuna cha sms, wala hata simu angalau kusema kwamba ametingwa. Nikikutana nae kwa job anajitahidi kunikwepa sana, anakua hana amani anajichekesha chekesha mara azuge nitakuona baadae na mimi nimekaa kimya kwanza nione anavyoact.
Kikubwa, wadada muwe waaminifu, unajua shida hazina mwisho. Leo hii ukikosa uaminifu, siku nyingine utapata matatizo makubwa zaidi na utaona aibu kumfuata mtu ambaye angeweza kukusaidia kwa moyo mkunjufu lakini tayari umeshavunja uaminifu kwake.
Toleka!