ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
binafs mim yaan nikikopa tabu nitapat mim ninayedaiwa siwez deni kabis sijui kwa nin na kukopa siweziSawa lakini tunatofautiana ujue kuna mtu akiwa na deni yaani ile aibu hata njia anaweza badilisha na sio kwamba anapenda bali ni ile hali ya kukosa anahisi kama ndio utazidi kukwazika.
Na kuondoa hiyo sintofahamu inategemea na aina ya mtu kuna wengine wanajua kudai balaa aisee unaweza shangaa kule kupiga tu umeoga matusi ukajuta na kutamani bora ungekaa kimya na kusubiri upate ndio umgee.