Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

Shemeji yako akinikopesha ndio kanipa hazirudi na analifahamu hilo lakini huyo ameshasema sio mpenzi wake
kama sio wapez kulipa lazima ila kama ndo hivy ten basi ndo hivyo...
 
Msamehe tu
Siwezi kumsamehe mkuu. Hiyo hela nilikopa sehemu niongezee nifanyie nililotaka kufanya halafu akanitapeli. Sasa hivi nalipa deni wakati hela nilichokusudia kufanya sijafanikisha. Najibana kufidia deni na nilichotaka kufanya kwa ajili yake. Mungu atamlipa na sheria itafuata mkondo wake.
 
Ni busara kuheshimu makubaliano. In case kuna tatizo ni busara kumjulisha anayekudai ili kuondoa sintofahamu
Sawa lakini tunatofautiana ujue kuna mtu akiwa na deni yaani ile aibu hata njia anaweza badilisha na sio kwamba anapenda bali ni ile hali ya kukosa anahisi kama ndio utazidi kukwazika.

Na kuondoa hiyo sintofahamu inategemea na aina ya mtu kuna wengine wanajua kudai balaa aisee unaweza shangaa kule kupiga tu umeoga matusi ukajuta na kutamani bora ungekaa kimya na kusubiri upate ndio umgee.
 
Si kweli, hela inaweza kukaa tu kwenye akaunti just incase. Binafsi naweza kukopesha mtu kama nna hela ambayo siihitaji kwa wakati huo.
Hamna hela usiyohitaji. Basi tu anaekukopa unakua umemjali ndo sababu unampatia. Kama haina kazi si bora ukafanyie shopping gf wako au mpeleke hata mkoa mwingine akale bata. Watu wanapata hela zao kwa shida. Mtu aamke asubuhi aache kitanda aende kazini halafu uchukue hela yake bure tuu eti kisa ilikaa kwenye account
 
Siwezi kumsamehe mkuu. Hiyo hela nilikopa sehemu niongezee nifanyie nililotaka kufanya halafu akanitapeli. Sasa hivi nalipa deni wakati hela nilichokusudia kufanya sijafanikisha. Najibana kufidia deni na nilichotaka kufanya kwa ajili yake. Mungu atamlipa na sheria itafuata mkondo wake.
Pole sana
 
Hamna hela usiyohitaji. Basi tu anaekukopa unakua umemjali ndo sababu unampatia. Kama haina kazi si bora ukafanyie shopping gf wako au mpeleke hata mkoa mwingine akale bata. Watu wanapata hela zao kwa shida. Mtu aamke asubuhi aache kitanda aende kazini halafu uchukue hela yake bure tuu eti kisa ilikaa kwenye account
Huwezi kuchukua pesa ya emergency ukaenda kula bata au kufanya shopping.
 
Ni busara kuheshimu makubaliano. In case kuna tatizo ni busara kumjulisha anayekudai ili kuondoa sintofahamu
Ukimkopesha mwanaume ni rahisi kumdai hata mahakamani utaenda na utamshinda.
Mwanamke hata ukimpeleka mahakamani atakushinda tu. Akisema Bwana hakimu huyu bwana alikuwa ni mpenzi wangu na pesa alizonipa alinihonga ili nimkubalie na tumeshalala naye zaidi ya mara 10.
Case closed.
 
Back
Top Bottom