Wadada na birthday party

Wadada na birthday party

KaNyEeAsT

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2021
Posts
343
Reaction score
719
Sasa hivii wasichana wengii wameamka kwenye maswala ya viparty vya siku ya kuzaliwa yaanii mwanaume kama una mahusiano na wasichana zaidi ya mmoja ujue utachangia wote.

Ukiwa na urafiki nao itakuhusu tuu michango shida sio hiyo party shida ni kuchangiana hatupumui aiseee.

Au wadau mnalionajee hiliii??? Ishakuwa kero.

Nawasilisha.
 
Niliacha kwenda birthday party za mademu mwaka jana. baada ya kulipishwa bills za mademu ambao kabla ya hapo sikuwa nawajua. Mwaka huu kuna demu nilimtongoza akakubali kama hayuko serious, hapokei simu wala hajibu texts kwa wakati na akipokea anasema nisubiri kidogo kisha anakata mwenyewe. Nikafuta namba yake akaja nitafuta two months later na siku tano kabla ya birthday yake. Nikamkazia
 
Tafuta pesa mkuu, hadi besidei unalialia toa hela toa hela tukafanyie besidei party Hyatt baba. Na uache kuwa na bebes wengi, otherwise kila week kutakua na besidei[emoji12]
Bora bia nyingi na aina tofauti tofauti kuliko bebes wengi na wa aina tofauti tofauti.
Yani ukiwa na bebes wengi haswa vislay Queen unaukimbilia umasikini kwa haraka kama hela ni ya chumvi ya mawe
 
Back
Top Bottom