Wadada na wizi ni pete na kidole?

Wadada na wizi ni pete na kidole?

Kuna vitu sielewi unalitoa lidada out unalipa bata full mahenessy ma nyama choma, mnaenda zenu kulala linakusachi. [emoji57][emoji57]
Hapo sitakubaliana na ww. Asilinia kubwa ya Wadada ni waaminifu zaidi kulikoVijana wa kiume. Tatizo ww huyo mlevi wako sijui ulimtoa wapi. Corner bar?? Lazima akisachi.
 
Asilimia kubwa wanaamini kuiba hela ya mwanaume ni ujanja na ni kama haki yao
 
Kuna vitu sielewi unalitoa lidada out unalipa bata full mahenessy ma nyama choma, mnaenda zenu kulala linakusachi. [emoji57][emoji57]
Kwa kumpa heshima yake huyu dada ni wa kununuliwa kiwanja Masaki😅
 
Huyo sio dada tena, huyo ni mwamba...,
Msalimie sana
Nyie ndio mna matatizo ya akili mnaamini kuiba hela ya mwanaume ni ujanja. Hujui mwenzio kaisotea vipi hadi kaipata kaona ajipongeze kidogo na wewe akupe bata muonjoi kidogo kumbe wewe jambazi tu unawaza kuiiba hiyo hela yake aliyoipata kwa tabu. Kwani akikupa kidogo kuna shida gani yani unaamua umsachi umuachie maumivu.
 
Hata yeye anatafuta pesa si starehe! Zikimwijia anazichukua ili atulizane na watoto wake.
 
Siku nyingine weka kiasi cha pesa cha matumizi yako kwenye budget,kama ni 300,000 per day basi inatosha na sio kutembea na burungutu la pesa kama uko mnadani kuchagua kitoweo

Pili,hakikisha unalala Hotel yenye hadhi,kiasi cha kwamba hawezi toka ndani,hadi pale reception wawasiliane na wewe,je wamuruhusu aende zake?? Na hapo ndiyo utajua kabisa huyu kaiba,kwa nini kaondoka bila kuniaga??

Tatu,ukiona umelewa sana na una pesa ndefu,ingia chumbani tafuta sehemu ficha hizo pesa,weka kidogo tu kama 20,000 hivi mfukoni,maana mkiingia room,lazima demu ataenda chooni,ficha hizo pesa popote pale unapoona hawezi kuona!

Nne,unaweza pia vuta kitanda hadi kwenye mlango,kitanda kizibe mlango kiasi cha kwamba hawezi kuvuta kile kitanda utasikia tu au hawezi kua na nguvu zakuvuta kitanda,na hii kama umelala kwenye Guest hizi za kajamba nani
😂😂😂😂. Hii ndio JF baba. Asanteni wataalamu wa shughuli mnatupa masomo mazuri kabisa. 👏🙏👏
 
Siku nyingine weka kiasi cha pesa cha matumizi yako kwenye budget,kama ni 300,000 per day basi inatosha na sio kutembea na burungutu la pesa kama uko mnadani kuchagua kitoweo

Pili,hakikisha unalala Hotel yenye hadhi,kiasi cha kwamba hawezi toka ndani,hadi pale reception wawasiliane na wewe,je wamuruhusu aende zake?? Na hapo ndiyo utajua kabisa huyu kaiba,kwa nini kaondoka bila kuniaga??

Tatu,ukiona umelewa sana na una pesa ndefu,ingia chumbani tafuta sehemu ficha hizo pesa,weka kidogo tu kama 20,000 hivi mfukoni,maana mkiingia room,lazima demu ataenda chooni,ficha hizo pesa popote pale unapoona hawezi kuona!

Nne,unaweza pia vuta kitanda hadi kwenye mlango,kitanda kizibe mlango kiasi cha kwamba hawezi kuvuta kile kitanda utasikia tu au hawezi kua na nguvu zakuvuta kitanda,na hii kama umelala kwenye Guest hizi za kajamba nani
Wewe unaongelea wadada malaya wa kujiuza mimi naongelea mwanadada ambae namjua kabisa nimemuita tule bata ila ndo ivyo sijui tatizo nini hawa viumbe. Pia ishawahi kunikuta na mke wa mtu mmewe kasafiri nimeenda kulala kwake na pombe zangu kanisachi.
 
Is okay brother. Cha muhimu hajakutoa roho yako. Wapo wa namna hio. Pesa zinatafutwa tu, ila naamini sasa umejifunza na hawatakupata tena. Asante kwa ku-share nasi. Pia kumbuka Trust Nobody. Inainesha ww unaamini sana watu kirahisi.
 
Ukiwa mbishi wa ushauri,utaendelea kupigwa pesa! Huyo demu sio mke wako,huyo mke wa mtu sio mke wako! Yeye kaja kwa kazi maalum,maana anajua kabisa baada ya hapo huwezi mwita tena hadi upate pesa,ndiyo utamwita! Kwa hiyo lazima akukombe tu salio lako!
Sasa mambo ya kuhamisha mavitanda mlangoni ya nini mkuu, sasa hapo si ndo atajua una hela atakupaka hata chloroform puani.[emoji16]
 
Hapo sitakubaliana na ww. Asilinia kubwa ya Wadada ni waaminifu zaidi kulikoVijana wa kiume. Tatizo ww huyo mlevi wako sijui ulimtoa wapi. Corner bar?? Lazima akisachi.
Mmmh ombea yasikukute tu
 
Nyie ndio mna matatizo ya akili mnaamini kuiba hela ya mwanaume ni ujanja. Hujui mwenzio kaisotea vipi hadi kaipata kaona ajipongeze kidogo na wewe akupe bata muonjoi kidogo kumbe wewe jambazi tu unawaza kuiiba hiyo hela yake aliyoipata kwa tabu. Kwani akikupa kidogo kuna shida gani yani unaamua umsachi umuachie maumivu.
Sidhan kama comment ya Evelyn Salt ni mbaya,umeichukulia vibaya tu but she wasnt negative
 
Back
Top Bottom