Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Tuambie wanadada basi mwezi huu umeambiwa mara ngapi u mzuri?
Tuambie😃🥰
Tuambie😃🥰
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2]Inaongeza nini hiyo? Si yulikubaliana tuwape pesa? Hiyo kwenye kikao ilikataliwa
😂[emoji2][emoji2][emoji2]
Kama ni mtihani ushafeliKila siku
Kwanini kafeli??Kama ni mtihani ushafeli
Wengine walishasema sie wazuri walikudanganyaInaongeza nini hiyo? Si yulikubaliana tuwape pesa? Hiyo kwenye kikao ilikataliwa
Alitakiwa aseme ameambiwa mara ngapi, kama mara tano hadi sasa, au mara 16 hadi leo.Kwanini kafeli??
Oh sawaAlitakiwa aseme ameambiwa mara ngapi, kama mara tano hadi sasa, au mara 16 hadi leo.
Sema mtoto mzuri Kelsea[emoji2][emoji2][emoji2]
Binti mzuri leta maneno 😎
Inaongeza nini hiyo? Si yulikubaliana tuwape pesa? Hiyo kwenye kikao ilikataliwa
Ni kawaida kwa mwanamke kutamkiwa ivoBinti mzuri leta maneno 😎
Umemuongezea idadiSema mtoto mzuri Kelsea
Ooh! Mubaya mzuriNi kawaida kwa mwanamke kutamkiwa ivo
Vyovyote mkuu,tunatamkiwa tuOoh! Mubaya mzuri