Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mda tukichart nae, kila akiamka na kila tulalapo na hata hapa nimemuambi tumekaa tunapiga umbeaMara ngap umemuambia wifi yangu kwamba ni mzuri/mrembo??
Wasipoambiwa wiki tu huwa wanaanzaga kuwaza na kukonda kunafuataKama mzuri mzuri tu. Hata usipoambiwa.
Kelsea njoo huku na uje na Bantu Lady msome hili li kitu lizito lenye ncha kaliMi kwakweli maneno yote ya kusifia ninayowapa wanawake huwa hayana ukweli ni nyege tu ndo zinaniendesha nikishakubandua hutaskia tena hata nikikwambia nakupenda na hata kma niliwahi kukwambia we mzuri hapohapo naanza kukuona unafanana na mpoki
[emoji7][emoji7] msalimie sana.Kila mda tukichart nae, kila akiamka na kila tulalapo na hata hapa nimemuambi tumekaa tunapiga umbea
Kwa hiyo utasafiri toka huko Uvinza kuifuata bahari iliko?Tangia mwezi uanze sijaambiwa, nikaoge maji ya bahari
[emoji23] pole yao.Kelsea njoo huku na uje na Bantu Lady msome hili li kitu lizito lenye ncha kali
Zimefika 😊😊[emoji7][emoji7] msalimie sana.
Si ndio, asa ntafanyajeKwa hiyo utasafiri toka huko Uvinza kuifuata bahari iliko?
Uje na maweseSi ndio, asa ntafanyaje
Vidumu vingapi nikuletee, yamejaa tele hapaUje na mawese
Sawa mwanamkeNi kawaida kwa mwanamke kutamkiwa ivo
Viwili vinanitosha..!! Kwani wewe unaweza vingapi?Vidumu vingapi nikuletee, yamejaa tele hapa
UmesahauMara 2 [emoji1732]
Na leo almost katikati ya mwezi..!! Average wewe ni mara nne kwa mwezi..!! Haitoshi?Mara 2 [emoji1732]
Kitu gani?Umesahau
Inatosha mno [emoji7]Na leo almost katikati ya mwezi..!! Average wewe ni mara nne kwa mwezi..!! Haitoshi?
Khaa [emoji2]Viwili vinanitosha..!! Kwani wewe unaweza vingapi?