Kwangu Mimi Hao ndiyo wadada ninaowakubali humu ww je?
Point of correction, Mimi siyo mdada ni mwanaume
Na yna2 mkuu nilikusahauHao wako wewe..yeye ameandika wake
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Ww ndio mdada naekukubali
Ww ndio mdada naekukubali
Mkuu Mimi siyo mdada ni mwanaume sio mdada mkuu hivyo rekebisha kauli
Usijali mkuu wanaume nao wanapendwa vile vile[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni mwanaume mkuu sio wa kike
Mkuu, unatakiwa ujuwe kusoma mwandiko. Yaani watu wakibadili ID zao ujuwe kuunganisha kwa kuangalia mwandiko mzee!!Mbitiyaza