Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi niko poa kabisa, Mungu anaendelea kutupigania kama last born wake.Awwwww[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8]
Asante sana jamani mhenga wangu! Nakuombea Mungu hiyo ahadi itimie!
Mimi sijambo kabisaa dear, hofu kwako tuu uliye mbali na upeo wa macho yangu!
Habari ya wewe j. ?Afadhali umenikumbuka,mie nakukubali zaidi The Initiator huru
Sky Eclat and manengelo michango yao huwa naiheshimu ila naomba wapunguze kuichukia Jamhuri, wajifunze kuwa wazalendo sio kila kitu cha kushangilia na kupinga and they are cute ingawa kidogo umri umewasogea.
Demiss ni mwendawazimu hakuna cha kujifunza kwake, tabia yake hadi sasa ishafahamika humu JF.
Mzigua90 and cariha Nawapenda hawana matatizo, ingawa kidogo kwa upande wa cariha wakati mwingine ukimkwaza mtaishia kurushiana maneno
Victoire Huyu bado sijamuelewa vizuri yuko upande gani maana kuna siku anasifia serikali siku nyingine ni kivuruge kutwa kuisema vibaya
ndugu yanguMimi binafsi namkubali sana ASHA D, Katoto kazuri,
Amen amen mhenga wanguMi niko poa kabisa, Mungu anaendelea kutupigania kama last born wake.
We nae tupumzishe.Nawakubali wote
Mimi ni mwanaume mkuu sio wa kikeDada Saveya nakukubali sana..hiyo shepu sio mchezo..kumbe wewe sio wa kispoti spoti
ooh ok sikujua mkuuMimi ni mwanaume mkuu sio wa kike
Hao wako wewe..yeye ameandika wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww ndio mdada naekukubali