Wadada ninaowakubali humu JF Sky Eclat, Demiss, Manengelo, Victorie, Mzigua, Cariha

Namkubali na kumuelewa sana dada wa nguvu Sakayo mahaba kama yote ulichonimezesha sijatema. How are you please?
Ngoja nizichange change nikuzawadie Ist ya kuendea sokoni siku ya birthday yako.
Awwwww[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8]
Asante sana jamani mhenga wangu! Nakuombea Mungu hiyo ahadi itimie!

Mimi sijambo kabisaa dear, hofu kwako tuu uliye mbali na upeo wa macho yangu!
 
Ni nini hiki eti Kigori.
 
Back
Top Bottom