Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaaaa....Yaaaani nimecheeeka saaaana.Ww ndio mdada naekukubali
Wewe mbona umejisahau? Au hukubaliki.Kwangu Mimi Hao ndiyo wadada ninaowakubali humu ww je?
Niliwasahu Hao mkuu, na madam faiza fox,
Asante kwa kumsamehe. Nakujua hunaga hianaAah sawa mkuu, binafsi nimemsamehe Kwa hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Namkubali yule mwenye shati la njano mtoni.
Tulia hivyo hivyo mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww ndio mdada naekukubali
Ya zamani ni ipiMkuu Kwani kuna kosa?
We mdada nakukubali kinyama.[emoji12]Teh na I'd yako ya August 18
Hahaha...haya bhana, hizi mbavu zangu leo.Waiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unaowajua ama unaowakubali?Niliwasahu Hao mkuu, na madam faiza fox,
kuwa dada zako ina depends na umri wako vinginevyo wanaweza kuwa mama zako au wakezakoKwangu Mimi Hao ndiyo wadada ninaowakubali humu ww je?
niambie mdogo wanguNa ID yako ya August 18?!! [emoji23][emoji23]