Wadada ninaowakubali humu JF Sky Eclat, Demiss, Manengelo, Victorie, Mzigua, Cariha

Wadada ninaowakubali humu JF Sky Eclat, Demiss, Manengelo, Victorie, Mzigua, Cariha

Wengine ni kasie, Evelyn salt, preta,
 
Sky Eclat and manengelo michango yao huwa naiheshimu ila naomba wapunguze kuichukia Jamhuri, wajifunze kuwa wazalendo sio kila kitu cha kushangilia na kupinga and they are cute.



Mzigua90 and cariha Nawapenda hawana matatizo, ingawa kidogo kwa upande wa cariha wakati mwingine ukimkwaza mtaishia kurushiana maneno

Victoire Huyu bado sijamuelewa vizuri yuko upande gani maana kuna siku anasifia serikali siku nyingine ni kivuruge kutwa kuisema vibaya
 
Back
Top Bottom