Wadada ninaowakubali humu JF Sky Eclat, Demiss, Manengelo, Victorie, Mzigua, Cariha

Wadada ninaowakubali humu JF Sky Eclat, Demiss, Manengelo, Victorie, Mzigua, Cariha

Awwwww[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8]
Asante sana jamani mhenga wangu! Nakuombea Mungu hiyo ahadi itimie!

Mimi sijambo kabisaa dear, hofu kwako tuu uliye mbali na upeo wa macho yangu!
Mi niko poa kabisa, Mungu anaendelea kutupigania kama last born wake.
 
Inapendeza...

Ila new member una siku10 tu humu, tayari ushaanza kupenda kupenda...


Cc: mahondaw
 
Hahaaa umenifuraisha ila jamani sipendi kurushiana maneno na mtu mie
Sky Eclat and manengelo michango yao huwa naiheshimu ila naomba wapunguze kuichukia Jamhuri, wajifunze kuwa wazalendo sio kila kitu cha kushangilia na kupinga and they are cute ingawa kidogo umri umewasogea.

Demiss ni mwendawazimu hakuna cha kujifunza kwake, tabia yake hadi sasa ishafahamika humu JF.

Mzigua90 and cariha Nawapenda hawana matatizo, ingawa kidogo kwa upande wa cariha wakati mwingine ukimkwaza mtaishia kurushiana maneno

Victoire Huyu bado sijamuelewa vizuri yuko upande gani maana kuna siku anasifia serikali siku nyingine ni kivuruge kutwa kuisema vibaya
 
namkubali sana yule dada, nampendaga sana..

la mwisho
nakupenda sana wewe dada mgeni pia
 
Dada Saveya nakukubali sana..hiyo shepu sio mchezo..kumbe wewe sio wa kispoti spoti
 
Back
Top Bottom