mimi nina tatizo la kukatika nywele. limenianza ss
hv. nimezoea kuweka wave ya movit. cku nilibadilisha nikaweka mwenyewe curl movit step 1. baada ya muda km wiki hv nikaona haijakolea nikaweka wave ndo tatizo lilipoanzia. nikichana nywele zinajaa kwenye chana. ss hv yaani nina kipara kikubwa tu kichwani. nimechanganyikiwa cjui nifanyeje. nataka nywele zisiendelee kukatika, nifanyeje?
Je unaweka wave nouvoux katika saluni yako? na ni sh ngapi unafanya?
Sorry wadau.. Ukitaka kufungua saloon ya kike, vitu gn n vya muhimu?
nywele zangu ni kavu zikiwa hazina dawa zinakatika hasa pembeni mbele ila si ngumu na si laini, na nikiweka dawa hata nikiungua pembeni na kisogoni hazishiki ni kwa nini na nifanyaje?View attachment 123948 View attachment 123950View attachment 123951
Wapendwa ndugu zanguni wa MMU hasa wadada...kama kunakitu au vitu vilikuwa ninakutatiza kuhusiana na swala zima
la urembo wa salon' basi chukua nafasi hii kuniuliza swali lolote lile linalohusiana na huduma za salon.
Hair Reluxer
Hair treatment
Hair special treatment
Misuko
Hair designing &
Beauty clinic (full package)
Je,unatatizo lolote la nywele zako za asili? Au unatatizo lolote la kucha zako za asili?
Yaliyo ndani ya uwezo wangu nitayajibu na yale ambayo yatakuwa nje ya uwezo wangu basi nitayaacha.
"UZURI UNAZALIWANAO ILA UREMBO NA USAFI WA MWILI UNAJIPA MWENYEWE"
Uwe Na Kioo! KwanzaSorry wadau.. Ukitaka kufungua saloon ya kike, vitu gn n vya muhimu?
Uwe Na Kioo! Kwanza
Saloon kama hiyo mtu akitaka kuianzisha anatakiwa awe na mtaji wa sh ngapi?
nywele zangu kwasasa ni ndefu lakini naona hazikui tena ziko palepale nashindwa nifanyeje je nizikate ndo zikue zaidi ama nifanyeje? MSAADA
Salon kama hiyo' ni ipi?
yaani kama mtu anataka kufungua saloon ya kike ya kisasa mtaji unatakiwa uwe ni sh ngapi?
yaani kama mtu anataka kufungua saloon ya kike ya kisasa mtaji unatakiwa uwe ni sh ngapi?