Wadada tunaopenda savvana tukutane hapa

Ladha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo

Napenda zaidi amarula
Atleast we mjanja
 
Heee!yani kunywa mara mbili kwa mwaka ni mbaya?
Mm sitaki kusikia my woman anakunywa pombe. Maana mm pombe situmii af mapombe ni machungu sana. Nikimuona gal anakunywa pombe naona ni mwanamke mwenye roho ngumu na mbaya. I can't entertain her
 
Kitu Namaqua sweet[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Haha...
Na wewe ndiyo zako nini ukishaingia Dance flow hauambiliki
Hapana aiseeh ila nimemkumbuka rafiki yangu mmoja alikuwa anapenda kuingia dancing flow akiwa na mdogo wake wanacheza balaah wameshalewa kutoka hawataki mpaka watolewe jamani pombe hizi, basi dj nae kwakuchombeza eti haya Kaka kamatia uno la mpenzi wako ahahahaaaaaa wakati ni Kaka na dada.
 
Hahah... Niitie espy basi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji1]
 
Mm sitaki kusikia my woman anakunywa pombe. Maana mm pombe situmii af mapombe ni machungu sana. Nikimuona gal anakunywa pombe naona ni mwanamke mwenye roho ngumu na mbaya. I can't entertain her
Amarula sio chungu,sinywagi pombe
 
Whindoeck pia umesahau
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…