Wadada tunaopenda savvana tukutane hapa

Wadada tunaopenda savvana tukutane hapa

50d70bb93ebcb3f4af7998fcd62f2e09.jpg


Wadada hatupendi vinywaji vikali na vyenye ladha kali au mbaya wengi tunafurahia uwepo wa savvana.

Nakipenda kinywaji hiki jaman nawakaribisha wadada wa Jf muanze kutumia.
Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna
 
Viwanja kadhaa navyopita kwa sasa naona wadada wengi wanaopendelea bia ukiachana na wapendelea wine, wamehamia kwenye Serengeti light na si Redd's tena.

Ila kuna bia moja inaitwa DESPERADOS nakushauri uijaribu hiyo ipo viwanja vichache kwa hapa bongo ila sehemu yeyote classic hawakosi hiki hususani wanapofika wazungu wazungu.

Ilitaka kupita humo humo kwenye Redd's , Savannah na St. Anna ila hii itakufaa na utaipenda.
Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna
 
Oky mamy karibu kwenye chama
Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna
Hayo madude yanawakausha papuchi na kutoa harufu mnaishia kupigwa na kukimbiwa mkibaki kutafuta mchawi nani.
Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna
Ewaaa!zanzi na amarula ni kama ndugu..ni nzuri kwa kweli
Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna
Pia kuna nyingine inaitwa sminoff ice nayo nzuri sana jamani ...
Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna
Na safari ndogo
Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna
Nikiona dume linakunywa Savannah au Redds huwa nalihisi ni punga

Hii ni kinywaji gani mkinywa mnalegea na kuwa romantic?

Nilikuona mahali mida flani hivi.....
Ebu ngoja nimalizie kinywaji changu hapa Rose Garden, then nikuje hapo...[emoji39] [emoji39]

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]inaongeza msisimko ukiwa na Baby wako inakausha wapi huo ni wivu wako

Naskia mkinywa hicho kinywaji mnapandwa na nyege, ni kweli??

Nilikuona mahali mida flani hivi.....
Ebu ngoja nimalizie kinywaji changu hapa Rose Garden, then nikuje hapo...[emoji39] [emoji39]

Utakua unapenda mgegedo after drinking sio bure

Amarula......[emoji15] [emoji15]
Kumbe ndiomaana......[emoji23] [emoji23]

Kawaida tu

Safi sana.....

[emoji7][emoji23] eti DESPERADOS kweli wee utakua mtaalam wa viwanja bado kuna moja inaitwa AMSTEL BEER Ni shidah

Ila Serengeti lite imeharibu soko la imported beer

Ebu malizia hapo

[emoji177][emoji177][emoji177]vyuma vimekaza ukienda kunywa watu wanakushangaaa saivi

 
Savanna sijaizoea ila saint anna nilishakunywa mara nyingi ila imenishinda asee

Halafu nimekumiss
Mmh pole dear ila inakiharufu chake hiviii hakina jinaa.....

Nimekumiss pia sema now nipo busy mnoo hata muda wa kuingia humu nakosa , vipi mzima??
 
Vyuma vimekaza wadada wanakunywa kilimanjaro ndogo za 1500 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Na vitambi wanamuachia nani? au wewe dada yangu (kwetu vitambi ni ufahari)
 
Back
Top Bottom