Keupe keupe🤣🤣🤣niliacha kwenda huko baada yakuona pichazao ni mbaya mbayatuu.nifanyie wepesi mkuu Kama nimweupe lakini Mana kule niweusi tupu🤣🤣🤣
Umeawavua nguo matajiri wa JF, sisi maskini huwezi sikia tunafuatwa PM maana wanajua fika wataishia kupewa ahadi hewa, all in all kila mtu anatamani kuwa na maisha mazuri.Hakuna jambo la hatari mno kama kukuta watoto wa kiume wanapiga soga za umbea-umbea na watoto wa kike, hasahasa kuhusu maisha yao binafsi ya mahusiano. Ubaya zaidi wanamtuma mtoto wa kike kuja kuwasemea. Noma sana yani....
Halafu ninyi matajiri wa Jamii-Forums huwa mnashida sana. Hapa jukwaani huwa hamuachi majigambo. Mara kuishi Marekani, Ulaya, mko ofisi kubwa ,mna elimu nzito, na mifuko yenu imetuna mapesa.
Sasa mabinti wakianza kuwafuata huko PM kuwatandika vizinga au mkashindwa kumalizana vizuri huko nje, huwa mnarudi hapa jukwaani kuchafuana na kuanikana. Kwanini mambo yenu ya faragha msiyamalizie huko huko nje au PM. Yaani kila kitu chako binafsi lazima uje ukianike humu ???
NB: Kama huu uzi una ukweli, basi watoto wa kiume wamefika pabaya mno. It smacks a bad taste...
🤣🤣🤣kama mweupe hapo sawa...Keupe keupe
Kana tako la kunyunyiza kwa mbaliiii
Kiufupi ni petite ....kazi kwako😅
50/50 inayotafutwa sijui ni ipi ila twendeni tu tutafika Kila mtu na mwendo wakeYaani, umenena haswa.
Wanawake wamezidi.
Mizinga kwa wengine ndiyo sehemu ya maisha.
Huwezi kusema wanajiuza . lakini kwa mizinga hadi inakera.
Kabla ya Chrismas ilibidi nizime kabisa simu.
Mwanamke hata uliyewahi kumkonyeza analeta furushi la matatizo yake.
Mwingine anataka umlale hata kwa yeye bibie kukutongoza ili apate mahali pa kuomba.
Ukimtolea nje utaona tu anahmia kwa mwingine.
Jana tu nimepata ujumbe , mtoto ana birthday(si wangu)
Mwingine anomba hela ya kodi ya nyumba
Mwingine anaomba ada ya watoto(si wangu)
Mwingine ndo kaniudhi,kaandika "we mwanaume naomba hela nina shida"
Wanawake sijui watajikomboa lini!
Mmh wewe tena kumekuchaaaa. Mie gobore ndugu yangu mwenzio alinidaka nikiwa mdogo saizi kama ni bamia ishakomalia shambani kwake🤣dah ila dizaini yenu nawamezea mate sanaa
Kazi kwako Sasa..🤣🤣🤣kama mweupe hapo sawa...
wee ni blessed bhana huchakai kihivyo.isitoshe namimi ni old mwenzako🤣🤣Mmh wewe tena kumekuchaaaa. Mie gobore ndugu yangu mwenzio alinidaka nikiwa mdogo saizi kama ni bamia ishakomalia shambani kwake🤣
sema wengi weusi muleKazi kwako Sasa..
Ila warembo wapo mule ...uliza vizuri ndugu upewe connection 😅
Hii sio poa eti eee😂Kwahiyo mmeunda club ili kutudiscuss?. Sijapenda
Wanachokifanya watoto wengi humu ndani ni upumbavu.Umeawavua nguo matajiri wa JF, sisi maskini huwezi sikia tunafuatwa PM maana wanajua fika wataishia kupewa ahadi hewa, all in all kila mtu anatamani kuwa na maisha mazuri.
Hivyo siwashangai dada zangu hawa, niwasisitize tu wawe makini na hao wanaowafuata PM, maana nimejisikia vibaya kuona wakidhalilishwa kwenye huu uzi.
Kabisa. Bora wangeunda club ya kugegeduana, Wanapoteza muda wao bure 😏Hii sio poa eti eee😂
Yuzeles ladi.. Na muwe tayali kumegwa na kuachwa.Unamtongoza mtt wa watu anakuomba pesa ww unaona ni kujizalilisha sasa ulitaka akamuombe nan
Wanaume mda wa kukaa na kulalamika ushapitwa na wakat huwezi kuonga au huwez kutoa pesa nazan itapendeza ukitafta malaya mkafanya yenu zen mkaachana
Ukitaka mtoto mzuri na utakae mcontrol lazma uhudumie na lazma uhonge
Kuchakaa sio rahisi ila mali ya mtu hailiwiii kabisa.wee ni blessed bhana huchakai kihivyo.isitoshe namimi ni old mwenzako🤣🤣
Na hiyo ndio shida.kuna ubaya gani mkamalizana huko huko mlipokutaniana?ni huzuniTAtizo wakimwagana huko wanakuja front
Huyu aliyeanzisha huu uzi ni mtu mzima lakni tena ana umri wa miaka 41, huwenda katika story zao kinywaji kilikuwa kimekolea hivyo wakajikuta story zinahama na kuwa za umbea.Wanachokifanya watoto wengi humu ndani ni upumbavu.
Aise..kumbe mambo ni mazito baba JUyo wa dodoma na mwajiriwa serikalini nishawaikutana na mzinga wake Pm[emoji850]
Hatari hiiUyo wa dodoma na mwajiriwa serikalini nishawaikutana na mzinga wake Pm[emoji850]
AiseHuyu aliyeanzisha huu uzi ni mtu mzima lakni tena ana umri wa miaka 41, huwenda katika story zao kinywaji kilikuwa kimekolea hivyo wakajikuta story zinahama na kuwa za umbea.
Huwenda mwisho wa story hizo wakaishia kulana kimasihara.