Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Mnavyotokwa mapovu hamtaki kuombwa hela mnataka nani hasa ale hela zenu ebu acheni uchoyo unaombwa hela ya kusuka nayo unalalamika chaaa! Na mnaombwa vile hamjiongezi ni jukumu la mwanaume kuhudumia mpenzi wake
 
Beib utanipa elfu 40?? Shwaa unampaa... Siku ya 3 beib uko wapi?? Nipo kkoo..beib naomba unijie na zawadi ya gauni.[emoji3][emoji3][emoji3]

Mmekutana unasikia beib mdogo wangu ana shida na hela yupo shule kama elfu 50 unarukaaa... kesho yake anaomba hela ya mapazia na ges[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shwain pitaa hiviiiii
 
Mnavyotokwa mapovu hamtaki kuombwa hela mnataka nani hasa ale hela zenu ebu acheni uchoyo unaombwa hela ya kusuka nayo unalalamika chaaa! Na mnaombwa vile hamjiongezi ni jukumu la mwanaume kuhudumia mpenzi wake
Hakuna mwanaume mwenye akili anahudumia malaya. Nendeni mkafanye kazi rasmi mpate pesa.
 
Hakuna mwanaume mwenye akili anahudumia malaya. Nendeni mkafanye kazi rasmi mpate pesa.
Malaya hawezi tembea na padri malaya atakuwa na malaya mwenzie...shida mnatongoza tongoza mnooo mtu umewaweka kwenye list watu 15 sasa wote hao wakikuomba si lazima uvurugwe ujikute unatema sumu jf pambana na hali yako kama mfuko umeyumba sabuni ya jamaa haifiki 1000 ukipata na babycare yako aah unabadilisha tu taste
 
Wanawake wote mnaowaona kilasiku wapo online wana comment na kulike hao ndio wasumbufu inbox humu JF...
Na wanajifanya kujichekesha ila vitaalamu vya mizinga...
 
Suala la Vizinga kwa Ke wengi limechangiwa na Michezo yao ya Vikoba. Na Wakati mwingine kupenda kuishi maisha ya Show Off hata kama mtu ana kipato Cha Chini.

Ke anapiga Vizinga ili Lunch akale Ramada hotel Wakati uwezo wake ni kula Shishi Food.

Mizinga imekuwa Mingi hadi Wanaume tunapoteza nguvu za Kiume [emoji22]

Mnaweza kukuta mnapoteza watu wa muhimu kwenye maisha yenu kwa kuendekeza njaa isiyoisha [emoji125][emoji125]


Hapo juu umeandika jambo la muhimu sana. Wapo Wadada wanahitaji kuolewa na wanakutana na Waoaji sahihi ila hawana pesa nyingi za kuwahonga. Kwa kuona kuwa jamaa hana pesa za kumuhonga basi Mwanamke anamwacha huyo Muoaji na kwenda kutumia pesa za Wanaume wahuni wanaowahonga na kuwaacha bila kuwaoa.

Wanawake wanapaswa kuwa makini sana
 


Hapo juu umeandika jambo la muhimu sana. Wapo Wadada wanahitaji kuolewa na wanakutana na Waoaji sahihi ila hawana pesa nyingi za kuwahonga. Kwa kuona kuwa jamaa hana pesa za kumuhonga basi Mwanamke anamwacha huyo Muoaji na kwenda kutumia pesa za Wanaume wahuni wanaowahonga na kuwaacha bila kuwaoa.

Wanawake wanapaswa kuwa makini sana
Ni kweli Mkuu

Kwasasa Wanawake huangalia Mwanaume mwenye kipato kuweza kudate naye. Kama huna fedha, Hao Wanawake wazuri utaishia kuwaita Shemeji tu 🙆
 
Kuna wengine humu ndio sehemu yao yakupatia bando, kula, kuvaa, na starehe nyingine nawana gongwa sana.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna washikaji humu wanahonga vocha hadharani ili wakitupia voko wasikataliwe wanawala Sana[emoji1787]Kuna washkaji wanna weka picha zamiburungutu ya hela wanawala sana. halafu Kuna washikaji wao hawajawahi kukoment kitucha maana Wala kuanzisha uzi kazi yao nikupoint demu wanae mtaka nakuchati nae kidogo halafu wanahamia pm hawa washkaji wamwisho wanawachamganya mademu wote kuna mademu marafiki wameliwa wote nahawa washkaji nawana honga balaa.

Kwahiyo shida sio hawa wanawake shida nihawa washkaji[emoji1787]halafu kuna washkaji wanajifanya wataalamu asili wamagonjwa nao wanatumia njia hio kuwala nawame Wala wengi kwasababu mademu wengi wanashida humu wanajalibu kwenda kupata tiba [emoji1787]washkaji wenyewe nimatapeli tuu hawana utaalamu wowote[emoji1787]
halafu mademu wanao ongoza kunasa kwa hawa washkaji wote ni walimu nawana vyuo[emoji1787]namanes kidogo.

Ila walimu ndio wameshika hatamu.
mwisho nimalize kwakusema...kila mtu afanye anacho weza bali Mimi Nina waona nawaangalia tuu. cc..........
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]heeeee father benard
 
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.

Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.

Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.

Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.

Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.

Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.

Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.

Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.

2023 tubadilikeni jamani
Mkuu Lindi kubwa hii, wapi hapo nikusalimie
 
Back
Top Bottom