Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

🫡🫡
 
Wanaume wana pdf kabisa la ombaomba
Hao wanaume wanakosea sana, pamoja na yote, hizo pdf za nini sasa, nyie mmetoka out kukaribisha mwaka, kwa nini mnakuwa na convo za jf na kujadili watu wa jf?

Sisi tunaomeet nje ya jf kuna mahali tunakosea sana, badala ya kufurahia "muunganiko" wenu mpo busy kujadili IDS mbalimbali, sio sawa.
 
Sidhani kama kumtoa mtu out ni kupigana mizinga, yaani mimi na wewe twende mahali tukale, tunywe na kupiga story huo unaitwaje mzinga Chak?
Nilikuwa nakuuliza tu maana ninakatarehe kangu hapa nimekapanga unipeleke nikapate dinner na wine.
 
Imagine.

Hivi kwani ukionana na mtu wa jf ni lazima useme umeona na na fulani?ni upuuzi.inabidi kuwa makini na watu wa kukutana nao nje ya jf.
 
Hako katarehe kakifika tutapanga tu mtu wangu, kutoka out hakuhusiani vyovyote na mizinga. Lakini kama mtu anayo na mwenzake ana uhitaji, giving is receiving huwa mnasema nyie wazungu.
 
Tuwe makini mno mno! Tuwe makini sana...
 
Hako katarehe kakifika tutapanga tu mtu wangu, kutoka out hakuhusiani vyovyote na mizinga. Lakini kama mtu anayo na mwenzake ana uhitaji, giving is receiving huwa mnasema nyie wazungu.
🤓🤓🤓

Kwani huu uzungu nimeanza lini jamani😜😜mie mchumba chumvi tu.
 
Mkifika hotelini msisahau kwenda faraghani kusali.

Wasalimie watoto mkuu
Acha kuchochea kuni mkuu. Sijui kama itawezekana,yule ulokole wake ni deep sana. Kila kitu "amina...amina mtumishi"

Sio kama mmoja wa kuchovya, alipokojoa ndio akaona amefanya dhambi na kuanza kunililia chumbani. Ilikuwa zamani lakini.
 
Mtusamehe tu..tunapenda maisha yaliyojuu ya uwezo wetu pengine labda hata kazi hatufanyi.

Ni huzuni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…