Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
🫡🫡
 
Wanaume wana pdf kabisa la ombaomba
Hao wanaume wanakosea sana, pamoja na yote, hizo pdf za nini sasa, nyie mmetoka out kukaribisha mwaka, kwa nini mnakuwa na convo za jf na kujadili watu wa jf?

Sisi tunaomeet nje ya jf kuna mahali tunakosea sana, badala ya kufurahia "muunganiko" wenu mpo busy kujadili IDS mbalimbali, sio sawa.
 
Sidhani kama kumtoa mtu out ni kupigana mizinga, yaani mimi na wewe twende mahali tukale, tunywe na kupiga story huo unaitwaje mzinga Chak?
Nilikuwa nakuuliza tu maana ninakatarehe kangu hapa nimekapanga unipeleke nikapate dinner na wine.
 
Hao wanaume wanakosea sana, pamoja na yote, hizo pdf za nini sasa, nyie mmetoka out kukaribisha mwaka, kwa nini mnakuwa na convo za jf na kujadili watu wa jf? Sisi tunaomeet nje ya jf kuna mahali tunakosea sana, badala ya kufurahia "muunganiko" wenu mpo busy kujadili IDS mbalimbali, sio sawa.
Imagine.

Hivi kwani ukionana na mtu wa jf ni lazima useme umeona na na fulani?ni upuuzi.inabidi kuwa makini na watu wa kukutana nao nje ya jf.
 
Nilikuwa nakuuliza tu maana ninakatarehe kangu hapa nimekapanga unipeleke nikapate dinner na wine.
Hako katarehe kakifika tutapanga tu mtu wangu, kutoka out hakuhusiani vyovyote na mizinga. Lakini kama mtu anayo na mwenzake ana uhitaji, giving is receiving huwa mnasema nyie wazungu.
 
🤓🤓🤓

Kwani huu uzungu nimeanza lini jamani😜😜mie mchumba chumvi tu.
 
Mkifika hotelini msisahau kwenda faraghani kusali.

Wasalimie watoto mkuu
Acha kuchochea kuni mkuu. Sijui kama itawezekana,yule ulokole wake ni deep sana. Kila kitu "amina...amina mtumishi"

Sio kama mmoja wa kuchovya, alipokojoa ndio akaona amefanya dhambi na kuanza kunililia chumbani. Ilikuwa zamani lakini.
 
Yaani, umenena haswa.
Wanawake wamezidi.
Mizinga kwa wengine ndiyo sehemu ya maisha.
Huwezi kusema wanajiuza . lakini kwa mizinga hadi inakera.
Kabla ya Chrismas ilibidi nizime kabisa simu.
Mwanamke hata uliyewahi kumkonyeza analeta furushi la matatizo yake.
Mwingine anataka umlale hata kwa yeye bibie kukutongoza ili apate mahali pa kuomba.
Ukimtolea nje utaona tu anahmia kwa mwingine.
Jana tu nimepata ujumbe , mtoto ana birthday(si wangu)
Mwingine anomba hela ya kodi ya nyumba
Mwingine anaomba ada ya watoto(si wangu)

Mwingine ndo kaniudhi,kaandika "we mwanaume naomba hela nina shida"

Wanawake sijui watajikomboa lini!
Mtusamehe tu..tunapenda maisha yaliyojuu ya uwezo wetu pengine labda hata kazi hatufanyi.

Ni huzuni sana.
 
Back
Top Bottom